Wachagga tena!

Wachagga tena!

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,607
Reaction score
42,958
chaga.jpg Wachaga kwa kusifu siwawezi. Hivi kuna kabila lingine huwa linaji-feel proud zaidi ya Wachagga hapa Tanzania?
 
Kwani kuna shida gani mtu akijisifu kwa sababu ya chake? Jisifu na wewe kwa kuzaliwa ******. Nyambaf...
 
usipojisifia akusifie nani? Unangojea uje kuchomwa sindano? Tuna sifa coz pesa tunaijua, kwanza kuitafuta, pili kuipata na tatu kuitumia vilivyo, nne kukumbuka nyumbani, hivi kuna makabila mengine yanakumbukaga kwao? Mnaishia tu kujenga mjini, mwingine aendeleze gurudumu.
 
Back
Top Bottom