KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 259
Mtaisoma namba tu mlizoea kula vya bure kwa utapeli sasa lazima mfanye kazi hakuna wa kuwadekeza kwenye wizi wenu.Hata mimi nilikuwa namsikiliza wakati anataja makatibu wakuu. Nilimtazama wala sikummaliza, ila nikajisemea kuwa si ishu. North inajua kujipanga. North ni wajasiriamali
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed

So, we ni shekh Yahya...I saw it coming..................................
Sio issue, ila mjipange kweli kweli, maan na kodi lazima mlipe, kwa hy huo ujasiliamali pia, utakaa vyemaHata mimi nilikuwa namsikiliza wakati anataja makatibu wakuu. Nilimtazama wala sikummaliza, ila nikajisemea kuwa si ishu. North inajua kujipanga. North ni wajasiriamali
Ukabila umepamba moto, Ya WAHUTU na WATUTSI yananukia Tanzania. Ngoja tuone!
Yaani mkuu hujakosea kabisa huu ukabila huu Mungu weka mikono yako tuu tunapoelekea sijui itakuajeUkabila umepamba moto, Ya WAHUTU na WATUTSI yananukia Tanzania. Ngoja tuone!
Umesahau ujambazi mkuu - ukisikia ujambazi uliyo pitiliza mipaka uwakosi!! Wakati fulani nilifikiri ndugu zao Mungiki wamehamia Tanzania, umahili wa Dk.Jakaya Kikwete ndio uliokoa jahazi - hali ilikuwa ni mbaya sana mwanzo mwanzoni mwa utawala wake.Mmezidi wizi, kila sehemu unapo tokea ufisadi lazima mmoja wenu atakuwepo.
Mlichomtenda kipindi cha kampeni anaanzaje kuwa na hamu na nyie??Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed