Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Wachaga mnapenda sifa tu lkn hamna kitu kabisa.
Kila siku utasikia Moshi imeendelea ooh imendelea.
Sasa kwa taarifa yenu Tanga imeendelea kuliko Kilimanjaro.
Tanga ni jiji while Moshi ni manispaa.
Kwa taarifa yenu hata Dodoma itakuwa jiji first kabla ya Kilimanjaro!!!
Mmekalia kujisifu wenzenu wanapiga kazi .
Kaeni hivyo hivyooooo.
Kama kunywa mbege ndio maendeleo hapo sawa
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.
Ni kweli wasipende kulalamika. wote uliowataja walitokea kaskazini.ni ubiinafsi unawasumbua hao.
Hapa Kazi Tu.
Kusoma nae sio tija.je unaujua utendaji wa kamuzora?Sumaye ni muiraq,siyo mchaga,kajaza akina nshomile wenzie.mfano kamuzora, alikuwa mzumbe na walisoma naye.
Tatizo umeandika bila kuelewa unachokizungumziaWachaga mnapenda sifa tu lkn hamna kitu kabisa.
Kila siku utasikia Moshi imeendelea ooh imendelea.
Sasa kwa taarifa yenu Tanga imeendelea kuliko Kilimanjaro.
Tanga ni jiji while Moshi ni manispaa.
Kwa taarifa yenu hata Dodoma itakuwa jiji first kabla ya Kilimanjaro!!!
Mmekalia kujisifu wenzenu wanapiga kazi .
Kaeni hivyo hivyooooo.
Kama kunywa mbege ndio maendeleo hapo sawa
Wachagga mna roho ya ubinafsi sana. Mnataka nini kila siku nyie kulia lia tu,
Tangu lini Wachagga mkaipenda CCM? KUMBUKENI MAGUFULI ANATOKA CHAMA CHA MAPINDUZI
Tafadhali!!!! uteuzi umezingatia elimu sio uwezo, kuwa prof au PHD sio uwezo ni elimu! Sina haja ya kutoa mifano au references hapa.Uteuzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
umeona dhambi ya ubaguzi inawatafuna hadi wenyewe.....mtaendelea kusubiri hai iwe manispaa na moshi iwe jiji hadi mtwara iwe jiji....hamjui umoja ni nguvu?Tatizo umeandika bila kuelewa unachokizungumzia
Moshi ingekua jiji mda mrefu tu kwa kua vigezo vya kua jiji inavyo toka 2005 tatizo ni ukubwa wa manispaa ya moshi
Halmashauri ya Hai waligoma kujiunga na manispaa ya moshi ili iitwe jiji
Hai walisema na wao wanataka kufikia hadhi ya manispaa so hawawezi kujiunga na manuspaa ya moshi
Sijui sasa mazungumzo yanaendelea au la
Sasa badala ya kuipongeza Hai kwa kuwaza maendeleo yao wewe unasema ubaguziumeona dhambi ya ubaguzi inawatafuna hadi wenyewe.....mtaendelea kusubiri hai iwe manispaa na moshi iwe jiji hadi mtwara iwe jiji....hamjui umoja ni nguvu?
Hao wagogo watapata maendeleo kwa kwa huo umatonya wao ???
Tanga Nyumba Mganga Nyumba Shoga Hayo maendeleo yatakujaje ??? Kilimanjaro ndy tunawaongoza nyie
Tatizo umeandika bila kuelewa unachokizungumzia
Moshi ingekua jiji mda mrefu tu kwa kua vigezo vya kua jiji inavyo toka 2005 tatizo ni ukubwa wa manispaa ya moshi
Halmashauri ya Hai waligoma kujiunga na manispaa ya moshi ili iitwe jiji
Hai walisema na wao wanataka kufikia hadhi ya manispaa so hawawezi kujiunga na manuspaa ya moshi
Sijui sasa mazungumzo yanaendelea au la
Yn huyu kila uteuzi wa rais ukitoka anakimbilia kuona kabila lake ...sasa ht km hawafai kuongoza wachaguliwe tu?? Kuna watu ni matahira...kila kabila likianza kujikagua tutafika
Hapa ndio nimejiridhisha kuwa kweli wachaga ni wabinafsi