mkuu itakuwa sio fresh ukitutenga.... na hawa wanawake watakosa wakuwaoa tuvumiliane tu sisi wachagga ndivyo tulivyo tutajirekebisha tu.. ni hayo tu
Nataman Watz wote Tungekuwa Wachaga Maana Tungekuwa Among of g8 country ....Hii mikabila mingine since the'r have been brought they cant even fight for ther family succeed wanabaki kutuonea wivu wachaga na kusema tuwakabila while they own nothing compared to us
Wakati ninyi mnapiga majungu na kucheza bao sisi tunafnya kazi na kukuza uchumi wetu n kubaki midomoni mwenu kuwa ni wezi
Safi saana, waacheni wachagga watoke serekalini wa endelee na ujasirimali, kwasababu ndio fani yao. Nakama serekalini ya awamu ya tano itaweka misingi mizuri ya kufanya biashara, sioni kwa nini wachagga wa endelee kufanya kazi serekalini.Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Wote wapare hao.
Ukisema huna maana ya ukabila siyo kweli,mbona hujashangaa makabila mengine ambayo hayamo ktk uteuzi?hapo umeshaweka ukabila,yale yale yalowaletea madhara ktk uchaguzi mnaendelea nayo,mkuu amefanya uteuzi kwa watendaji na ni waTanzania na siyo kwa maana ya makabila.Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Ni kweli kuwa wachagga jpm hawachagui na jibu liko wazi kabusa kwamba wachagga takribani wote walifanya kampeni nchi nzima ya kutomchagua jpm.Sasa ingawa miye sio msemaji wa jpm hizi ni hisia zangu tuungekuwa political analyst ungeelewa topic.....at the end nimeomba mchango kwa wachagga.....kama siyo Vunga
Wapare ni sehemu ya Uchagga ..,na katika lugha pana ukisikia wanaongelewa wachagga basi ujue ni jamii nzima ya watu wa milima au bonde la Ufa Kaskazini.Ndalichako ni muha, mtu wa kigoma, Maghembe ni mpare mtu wa mwanga
Ficha upumbavu wako huko
Great people disscus ideas
Hivi kaskazini ndio wachaga?Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.
Hapa Kazi Tu.
Lakini Huyu alituahidi kutumikia wote bila ubaguzi .....ukitazama kura alizopata Magufuli hakushinda kanda ya Kaskazini ....lakini alipata kura nyingi kwa mamilioni Ukanda Huo zilizompa ushindi .........Kama tuseme watu wote wa Kaskazini wasingempa kura hata Moja ni Wazi kuwa asingeshinda kwa kuwa mwenzake ....pia alishinda kwenye miji mikuu na huko pembezoni hakushinda lakini pia alipata kuraNi kweli kuwa wachagga jpm hawachagui na jibu liko wazi kabusa kwamba wachagga takribani wote walifanya kampeni nchi nzima ya kutomchagua jpm.Sasa ingawa miye sio msemaji wa jpm hizi ni hisia zangu tu
Malcom we ni mshomile?samahani lakiniChauvinism is never rational; no matter how sound it may appear.
Hivi na wagogo, wamassai, Wahehe, Wakinga, Wamakonde, Wahaya wakiwa na Akili kama zako tutafika kweli?
Hebu acha UZANDIKI na MAJUNGU
Kwanza huko uchagani ...walioajiriwa serikalini ndio wanaonekana masikini ......that is the truth ...wenye pesa ni waliojiajiri, wakifuatiwa na walioajiriwa na mashirika ya kimataifa Ndani na nje ( huko interview zao hawaangalii kabila) ....wanafuatia wanataaluma Kama Madaktari,wanasheria ,watafiti ,engineers nao pia kazi zao zinategemea uwezo binafsi, watumishi wa umma ,wapanda milima na tour guides ,alafu wakulima ( hawa wameadhirika Sana na bei mbaya za Kahawa na kuendelea kupungua kwa eneo la Kulima)Safi saana, waacheni wachagga watoke serekalini wa endelee na ujasirimali, kwasababu ndio fani yao. Nakama serekalini ya awamu ya tano itaweka misingi mizuri ya kufanya biashara, sioni kwa nini wachagga wa endelee kufanya kazi serekalini.
Mbona unajipa presha ya bure.Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Mbona Waha mnapendaga kujipendekeza hivyo? Warundi wakubwa nyie, mtarudi kwenu sasa hivi! Nani alikudanganya kwamba huyo mama ni Mha?[/QUOTE
Acha ukabila