Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Acha Kufanya mambo yawe complicated .

Mapishi
Kitandani

Hizo package zina umuhimu wake oa aliekukonga moyo

Mafanikio yapo na yanatafutwa
Kama mafanikio yangekuwa yanatafutwa nadhani kila mwanamke angekuwa tajiri.
Mke ni zaid ya mapishi.. ni zaidi ya kitandani.
Vile cile mke anachangia kuanguka kwako au kuinuka kwako.
And its take special kind of woman ambae anaweza kukupa chachu na support ya kufikia mafanikio. Type hii wako wachache sana.
Wengi ni wa kukaa na kusubiri.
 
Hao wachagga wa wapi ambao mmeoa kwao? Nachojua mchagga kama ukoo wenu wenyewe hamnaga Line za kupiga hela ni ngumu sana kudumu nao.

Mchaga anapenda mahali penye uhakika wa pesa! Hata kama huna ila uwe na network ya kuzipata hela soon. Ukiwa kapuku mchaga utamuona iddi amini tu kwa ile harsh treatment atakayokupa.
 
Macho kwenye mapene.

Ila wachaga wanapenda hela khaaaaaa
 
Wachaga wako Loyal penye hela tu! Usijidanganye hata siku moja eti demu wa kichaga wa hapa mjini anakupenda. Wenye tru love labda wale warombo wa interior! 🤣🤣🤣
Kuna jamaa mzaramo ameoa manzi mmachame.

Huyo mmachame kwao mambo yapo yente ila upande wa mwamba bado life la kuunga unga.

Huoni kama wapo wanaweza kupenda upendo wa dhati regardless pesa ipo au la
 
Kuna jamaa mzaramo ameoa manzi mmachame.

Huyo mmachame kwao mambo yapo yente ila upande wa mwamba bado life la kuunga unga.

Huoni kama wapo wanaweza kupenda upendo wa dhati regardless pesa ipo au la
Hizo ni very rare cases mkuu. Inatokea demu anakupenda tu. Ila huyo mzaramo lazma atakuwa na juhudi za kujikwamua sio boya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…