Naona Dada yake Mosha anakatiza mitaa ya majengo akiwa ametoka shopping





nmecheka mpaka basiHuenda hujamnunulia kioo

Wamachame hao wana misambwanda ya kutosha na sura ila wanaogopewa balaa na wachaga wengineMbona mimi wachaga ninaowafahamu wako vizuri jamani![]()
Wamachame hao wana misambwanda ya kutosha na sura ila wanaogopewa balaa na wachaga wengine
Hii nilishakutana nayo.. Hahaha
Khaa, Hawa ni new species?Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuchiwa free now.View attachment 2044045
Siwez wa expose watu ninaowafahamu ili kukuaminisha weweWeka picha ili tuamini ukisemacho.
Wamachame sijui. Ila wa marangu ndiio nmekutana nao wana shape nzuri sana mpaka miguuWamachame hao wana misambwanda ya kutosha na sura ila wanaogopewa balaa na wachaga wengine
Sina uhakika weka pichaWamachame sijui. Ila wa marangu ndiio nmekutana nao wana shape nzuri sana mpaka miguu

Siweki njoo unipigeSina uhakika weka picha![]()

😀 😀 😀Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuchiwa free now.View attachment 2044045
Huyo mwenye nyekundu ni pure chagga kabisaa hata ktk picha inabashiri