Mimi sio mchaga lakini hawa jamaa nawakubali...........
Mahali mchaga kashindwa kupabadilisha basi ujue hata mvua ikinyesha majani hayaoti..........
Una vigezo vyovyote visivyo na shaka? Au ndo kivile stori za vijiweni?Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.
Fanya kazi zote duniani, lakini usiwe mwalimu. Unatia aibu. Umewahi kufika Khazastan?Hili jambo linaweza kuchukuliwa kiutani lakini kisayansi lina ukweli. Moja ya tofauti kati ya binadamu na wanyama ni kwamba wanyama wana "species" nyingi wakati binadamu ni species moja tu. Sasa ukiangalia utakuta wanyama wanapishana uwezo wa kiakili kulingana na species zao, mfano paka ana uwezo wa kiakili kuliko mbuzi au sokwe ana uwezo kumzidi ng'ombe. Binadamu na sisi kwenye uwezo wa akili au tabia fulani tumegawanyika kutokana na makabila na hata rangi. Inakera lakini ndiyo ukweli, kwa mfano ukipewa nafasi moja ya kupeleka mtu jeshini halafu ukaambiwa uchague kati ya Mpare na Mkurya ni wazi kuwa utachagua Mkurya au ukiambiwa umuendeleze kielimu Mzaramo au Mnyakyusa ni wazi utachagua Mnyakyusa.
Sasa haya mambo ni ya kweli kwa sababu ushahidi upo ila watu wanaukataa ukweli kwa sababu za kisiasa tu zinazodai binadamu wote ni sawa na hivyo wapewe fursa sawa. Ukitaka ushahidi mwingine tafuta mtu aliyefika Johannesburg wakati wazungu wanatawala na jinsi ilivyo leo halafu utaelewa vizuri.
Nina hakika kwa maoni haya nitasulubiwa hapa.