Nyie ndo mna kelele sana mitandaoni kwa kweli tofauti na wengine.
Nenda Arusha kila mtu anaitwa billionea..Nimeishi na kusoma na waarabu ,wagunya na wasomali hawa watu very humble huwezi kufananisha na nyie moja ya rafiki yangu huyu nimesoma nae shule ya Government ila baba yake alikuwa na pesa mbaya miaka hyo mpaka anaendesha biashara na wana undugu wa karibu na Bakhressa..Pesa wanazo ila anaishi kawaida hata accounts za social media hana
Nafanya kazi na baadhi ya vijana wa huko bado wana ulimbukeni wa kuvimba unaweza kucheka


yupo mmoja hapa kuvimba kote alishawahi kutaka kunikopa na ni pesa ndo ila nilishtuka atakuwa tapeli maana ile pesa ni mara 6 ya mshahara yaani ndogo sana ila nikashangaa eti ananikopa kama sio utapeli ...Kama kununua magari kawaida sana wala sio kuwa na pesa wapo madalali wanabadili tu daily ...
ukifika huko utasikia neno "nina mahela"
Wachaga matajiri wapo wengi ila sio wa media katika media wachaga wengi ndo wanavimba haswa madogo .
unawajua hapa jf wengi weny kelele pesa hawana maana wanajitetea sana kama unabisha angalia uchumi wa nchi umeshikwa na kina nan ? wao wapo kimya .!
Halafu magari ni gharama wengine wanayo ila wanaweza mwezi wakapanda mwendokasi wakayaacha..