luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Vijitu vyenye roho nyeusi bhana mwendazake aliwalisha sumu1.Tafuta orodha ya walifutwa kazi kwa sbb ya vyeti feki
2.Ushirikiana upo, na ndio maana kuna mataaira ya kutosha huko kwenu
3.Kabila la wenye mali nyingi nchi hii ni wahindi
Vyeti feki Kila jamii ilikuwa navyo,pia Kilimanjaro ndo mkoa wenye shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzania
Fani zile nyeti Wachaga wengi huzisomea kama uhasibu uhandisi, bank, biashara,Sheria,afya kilimo achtecture NK
Ukienda ma universities Fani Hizi wapo most, mabank karibia yote wamejaa,nchi nzima wapo kutokana na exposure ya Elimu
