Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,909
- 4,702
Ok hamna shida.Kwahiyo ukubwa kwako ni nini? kuhudumia clients wa ndani tu bila kutanua wigo wa kibiashara?Kwamba CRDB lengo lao ni kuendelea kudominate tu ndani basi ndio dhima yao kibiashara?(kama ni hivyo ndio maana kweli wachanga ni superordinate katika hizi taasisi)Ziko DRC na Burundi ila siyo kila shirika kubwa linatakiwa kuvuka mipaka ndio liwe kubwa
Nimeshakuambia hawafanani Ila haikup ushahidi kuwa sio kabila moja,Mrombo akiongea.
Mmachame akiongea.
Kila mmoja azungumze kivyao.
Wanaelewana???
Urio ,ya rombo , marangu , kibosho , uru , meru na kwa wamasai wote hawaelewani wakiongea ila asili yao ni moja .Kwahiyo kina Urio wakiongea wanaweleana na Wamasai??
KNCU si chama cha ushirika au unaongelea hipi kiongozi?kama ni shirika lilikuwa lina operate indepently au lilikuwa chini ya serikali?Haya mashirika mbona mengi yapo chini ya serikali mfano KCU,ilikuwaje lenu likamilikiwa na wachaga?naomba muongozo kidogo naweza nikawa nimepotea hapaMzee ulizia kitu inaitwa KNCU toka 1950s wanajenga shule achana na kujenga kwa kodi kuliko anza juzi.
Kwa sisi tuliosoma na kubobea kwenye maswala ya Management tunajua expansion inategemea malengo ya kampuni. Leo Tanzania NMB bado haijamaliza kote unataka iende nje?Ok hamna shida.Kwahiyo ukubwa kwako ni nini? kuhudumia clients wa ndani tu bila kutanua wigo wa kibiashara?Kwamba CRDB lengo lao ni kuendelea kudominate tu ndani basi ndio dhima yao kibiashara?(kama ni hivyo ndio maana kweli wachanga ni superordinate katika hizi taasisi)
Shule ulisoma wapi wewe? Lahaja ni Dialect kwanini hamkusoma?Lahaja ni lafudhi.
Haina mahusiano na tofauti ya lugha.
Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.
In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Ni lugha moja hawawezi kusemana.Mrombo akiongea.
Mmachame akiongea.
Kila mmoja azungumze kivyao.
Wanaelewana???
Jamaa anasema samaki wanapatikana kwenye maji, wewe unasema jamaa ni mwongo kwa sababu wewe unajua samaki wanapatikana Sokoni?🤔Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Mwisho wa siku utasema Wafrika wote asili yao moja, maana hao "Wachagga, Wasukuma" wana asili kutoka bonde la Congo.Urio ,ya rombo , marangu , kibosho , uru , meru na kwa wamasai wote hawaelewani wakiongea ila asili yao ni moja .
Wakikuyu na jamii za "kichagga" ni moja, kwasababu ni mipaka ilichorwa tu. Kuchora mpaka hakutofautishi Mmasai TZ na Kenya au Mjaluo TZ na Kenya au Mdigo TZ na Kenya.Kuna wapare mcharo na kuna wachaga mcharo
Kuna wapare ngowo na kuna wachaga ngowo
Kuna wapare mshanga na kuna wachaga mshanga
Kuna wapare mndeme na kuna wachaga ndeme
Kuna wachaga ndosi na kuna wa meru ndosi
Kuna wakikuyu minja na kuna wachaga minja
Kuna wakikuyu mboya na kuna wachaga mboya
Kuna wataita minja na kuna wachanga wakikiyu na wakamba minja
Mimi naishi Kilimanjaro. Hizi stori danganya wajinga.Ni lugha moja hawawezi kusemana.
Ndio ujue wachaga hamna kitu.Umetoka kujibu kwa hizi benki zimefika Burundi na DRC bado unaniuliza swali la mimi watanzania kutembea umbali gani kwenda kupata huduma za kibenki(Am I responsible here?wachaga unaosema ni masuperior kwenye hizo taasisi ndio walitakiwa wawe washapata ufumbuzi mpaka sasa.Kwanini wameshindwa?jibu ni jepesi,uwezo wao ni wakawaida wengine wamebebwa na jamaa zao waliotangulia basi)Kwa sisi tuliosoma na kubobea kwenye maswala ya Management tunajua expansion inategemea malengo ya kampuni. Leo Tanzania NMB bado haijamaliza kote unataka iende nje?
Hivi unajua ni asilimia ngapi ya Watanzania wanabank account?
Hivi unajua kuna watu bado wanatembea Km 100 kufuata huduma za Bank?
Kwa hiyo unataka kusema hakuna wachaga ila Tanzania kuna wakikuyu?Mwisho wa siku utasema Wafrika wote asili yao moja, maana hao "Wachagga, Wasukuma" wana asili kutoka bonde la Congo.
Wakikuyu na jamii za "kichagga" ni moja, kwasababu ni mipaka ilichorwa tu. Kuchora mpaka hakutofautishi Mmasai TZ na Kenya au Mjaluo TZ na Kenya au Mdigo TZ na Kenya.
Ila Kenya hakuna Mchagga kwasababu mchagga siyo kabila.
Hamna mimi nilitaka nipate jibu hicho kipimo cha IQ majibu kayapata vipi?maana anachosema na uhalisia ni vitu viwili tofautiJamaa anasema samaki wanapatikana kwenye maji, wewe unasema jamaa ni mwongo kwa sababu wewe unajua samaki wanapatikana Sokoni?🤔
Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.Hamna mimi nilitaka nipate jibu hicho kipimo cha IQ majibu kayapata vipi?maana anachosema na uhalisia ni vitu viwili tofauti
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
IQ ya 120 unaenda kuwa barmaid tena unabambiwa na madogo janja wa maduarani(wale wachaga niliwashangaa tena kuna muhitimu wa chuo pendwa cha Dodoma hapo ndio nguvu ziliisha kabisa).Kwahiyo hii ndio akili kubwa ya wachaga sio?Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.
Nyerere aliwapa hiyo kazi kampuni ya Kizungu Price water utafute usome
Kuna wakikuyu Tanzania miongoni mwa "Wachagga"Kwa hiyo unataka kusema hakuna wachaga ila Tanzania kuna wakikuyu?
Punguza Konyagi kijana.Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.
Nyerere aliwapa hiyo kazi kampuni ya Kizungu Price water utafute usome