Wacha niuze sura mie

Mkuu naona unaturingishia PC wakati wadau sisi wote wa humu ndani JF tuna magari. Teeh teeh..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naona unaturingishia PC wakati wadau sisi wote wa humu ndani JF tuna magari. Teeh teeh..!!
Labda Ya Gari za Need for Speed most wanted..... Pc nimeazima
 
Lap top yenyewe kategeshea hapo ili aonekane msomi kumbe ni muingiza nyimbo kwenye sim na flash
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Mimi nauza barafu natuma mikoani kwa mawasiliano zaid call 0800753260
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…