Wacha nipangue hoja dhaifu za Lowassa na UKAWA

Wacha nipangue hoja dhaifu za Lowassa na UKAWA

Mahaba niue. Yaani Mkapa aliyeukuza uchumi kutoka 4 hadi 7% inaweza kuwa sawa na huu uliokaa domant palepale kwa miaka 10? Credit ni ndogo sana!
Siyo mahaba hata chembe..! Ukuaji wa uchumi ni sawa na mchezo wa watoto wa kurusha tiara. Kuibakiza tiara juu angani kama hakuna upepo, mrusha tiara lazima akimbie. Vinginevyo tiara itashuka chini tu. Vivyo hiyo na ukuaji wa uchumi, uchumi ukikua kwa 7% mwaka huu, ukizembea usishangae ukakuwa kwa lower percentage mwaka unaofuata. So kama alimaintain 7% kwa miaka 10 basi tumpongeze.
 
kwhiyo yeye mheshimiwa wetu amechangia kiasi gani kama mkapa aliacha 7% na yeye ameuacha katika kima kilekile je? tumwite nani? kama hajaongeza uchumi. ingawa kuna mambo ameyafanya lakini kwa muda wa miaka kumi haitoshi kabisa jamani hiyo speed ilikuwa ni speed ya mkokoteni wa kuvutwa na punda au?
 
Sasa wewe unakuja na mipasho badala ya hoja. Babu Seya kaswekwa ndani kwa kupitia sheria, sasa pingana na mahakama kwa kufaili cross motion with evidence, na sio kutumia uongo wa Lowassa eti nitawatoa Jela. Hivi Lowassa anataka kuwa Dikteta au anataka kutumia Sheria za nchi?

Nashukuru saana hoja yangu moja kuhuse JK kuwambia shemeji zake hana pakuwatia nyongeze ambaye hataki aache ime pass.- stupid solution.

issue ya BABU SEYA- nani hajuwi the corruption judicial system yetu influenced by public figures.His conviction didn't follow legal technicalities.kama ulikua mdogo then poa Verdict came in without mitigation.sasa wewe unaleta Umbwige hapa eti fileup bluh!bluh cross-examinatn. hata wewe selikali ikiamua kushugurikia leo utakojoa dagaa nakuacha Ku post ma.vi yako haya!!

ln short BABU SEYA's conviction wsnt tangible evidence had proven beyond reasonable doubt.Ni issue tu ya mapenzi !!! Kwanini yule waziri wako wa fedha baada ya conviction adi lero hayupo analialia? But wimbaji wameimba,wanaharakati wameongea n.k.

Kijana jifunze sio wote wapo jela walikosa lakini mda wingine lnfluence njee ya legal system.
 
You are once again wrong. He was prosecuted properly and the judicial convicted him. Was he no represented by an attorney, ye he was. So, stop whining and file an order to show cause or request for judicial intervention or motion for redress.
 
funny you are now bringing in rhetorical questions! first foremost l cn read your mind u don't understand Fair Trial in legal sense! selikali has vast resources & power is invested in the headboy Do u think just a mere person like me cn seek court to redress?? that's why folks are hoping change of new Utawala will split the bean shell.Judges & Lawyers are nothing in the eyes of power.circumventing of law is inevitable in corrupt system.whatsoever BABU SAYE could provide was likely to be shotdown as was headboy scandal of Century than his Richmond.pls reason within facts & figures
 
12109097_734542480022998_9142661312703990731_n.jpg

Acha nianze kupangua Vihoja vya UKAWA moja baada ya nyingine:
Tatizo la vijana wa UKAWA ni kusahau au labda walikuwa wadogo wakati wa kampeni zilizo pita!

Hivi hamkumbuki neno UKAPA lilikuwa na Maana gani!!?
Ni kwamba wakati wa Mkapa hela iliondoka mikononi mwa Wananchi,maana ndo alikuwa anajaribu Kuimilikisha Uchumi Serikali.

Mambo hayakuwa matamu kwetu kulinganisha na ilivyo leo.
Ndio maana nawambia Maendeleo ni hatua! Na sio siku mia za Lowassa. Ndio maana kuna msemo wa "ROMA haikujengwa kwa siku moja".

Yale ambayo Kikwete hakuyatimiza Yatatimizwa na Magufuli...hiyo haiondoi Ukweli kuwa Kikwete kafanya Makubwa!

UFISADI:
Kikwete kajitahidi sana kupambana na Ufisadi.
Ndio maana kukawepo na CAG!!! Hiyo ni Uwazi na Uwajibikaji...ndio maana kuna Watu wapo Jela na Wengine mahakamani nk...na ndio maana siku hizi Malipo yanafanywa kwa simu! YOTE HIYO NI JUHUDI ZA KUPAMBANA NA UFISADI!!!

Lakini kubwa zaidi KIKWETE KASIMAMIA KUKATALIWA KWA LOWASSA KUWA MGOMBEA WA CCM kwa sababu hizohizo za KIFISADI. Lowassa ni Fisadi kwenye damu, kwenye roho, kwenye nafsi na kwenye akili yake.

ELIMU hatuko zero...matatizo ni kawaida unapoongoza Watu.

Labda UKAWA mkashangae Kenya!
Maana wapo chini ya Mabadiliko ya UPINZANI uliomng'oa Daniel Arap Moi na Mpaka sasa WAALIMU HAWAPO MADARASANI.

Ama kuhusu kesho;sio Watanzania tu,VIUMBE WOTE HATUJUI KESHO ITAKUWAJE.
Ndio maana Mtikila katokea Njombe kaja kufia Msola!!!

Angejua bila shaka asingesafiri!!!

KAJIPANGE TU.

#HapaKaziTu

Mr Chin

Pole sana buku 7, omba mkataba mpya wa kupata Elimu bora na siyo bora Elimu kwaajili ya tumbo tu.
 
Nashukuru saana hoja yangu moja kuhuse JK kuwambia shemeji zake hana pakuwatia nyongeze ambaye hataki aache ime pass.- stupid solution.

issue ya BABU SEYA- nani hajuwi the corruption judicial system yetu influenced by public figures.His conviction didn't follow legal technicalities.kama ulikua mdogo then poa Verdict came in without mitigation.sasa wewe unaleta Umbwige hapa eti fileup bluh!bluh cross-examinatn. hata wewe selikali ikiamua kushugurikia leo utakojoa dagaa nakuacha Ku post ma.vi yako haya!!

ln short BABU SEYA's conviction wsnt tangible evidence had proven beyond reasonable doubt.Ni issue tu ya mapenzi !!! Kwanini yule waziri wako wa fedha baada ya conviction adi lero hayupo analialia? But wimbaji wameimba,wanaharakati wameongea n.k.

Kijana jifunze sio wote wapo jela walikosa lakini mda wingine lnfluence njee ya legal system.

Mahakama zetu aziko fair ,kweli ... Mara ngapi mnashinda kupitia hizo mahakama juzi tu mbowe ameshinda rufaa, lema naye alirudishiwa ubunge wake,wenyekiti wa vijiji waliopita bila kupingwa Bado ,mnasema mahakama haziko fair
 
Shida yako unazungumzia watu ambao wame consolidate power! watu kama Lema au Mbowe wamejijengea power yao kijamii kwanz. maana ya power pia na aina zake! utagundua utakuta during their trial external influences haiweze kuwazingua.Kama SEYA halikua na power! ndiyo Maana katibu wenu mkuu hata wamkamate live na meli ya kujaa na pembe za Tembo pale mahakama ya kisintu atapangua tu bila na lawyer-ndiyo power.

Viva TZ Viva Mabadiliko
 
kwani kuna kitu cha uongo hapo?! kwa kipindi cha miaka 10,ya jk ukuaji wa uchumi umeongezeka kwa asilimia ngapi? halafu mtu mzima anaibuka eti hata kuu maintain tu huo ukuaji anahitaji kupongezwa!! wakati mahitaji ya meongezeka, Kwanza huyo mzee ameongea ki uhalisia kabisa wala haku bwaja, sasa nyie ndio mnajifanys kuijua ccm kuliko yeye? na wengi mnaipenda tu kinafiki ili maisha yaende tu.
 
Back
Top Bottom