Mr Chin
Eti hapa kazi tu, kazi gani zinazofanywa gizani hizo?
Tang 1995 matatizo ya umeme hayaishi hiyo ndio kazi yenu kuiweka nchi gizani.
Viwanada vimekufa, maji matatizo kibao, uwizi wa mali za umma, halafu mnasema hapa kazi tu!
Shame on you na chama chenu.
Hatuwahitaji kuwasikia wala kuona rangi ya chama chenu.
Hapa ni Lowasa tu.

Last edited by a moderator: