Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,175
- 111,115
Hivi unajua maana ya neno maendeleo au kuendelea kwa mtazamo wa kiuchumi?
Ku-maintain ukuaji wa uchumi kwa 7% kwa miaka 10 mfululizo mbona ni credit? Iwapo gari limetoka speed 40km/h hadi 70km/h na kumaintain hiyo speed. Je utasema gari haliendi?