Wacha nipangue hoja dhaifu za Lowassa na UKAWA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12109097_734542480022998_9142661312703990731_n.jpg

Acha nianze kupangua Vihoja vya UKAWA moja baada ya nyingine:
Tatizo la vijana wa UKAWA ni kusahau au labda walikuwa wadogo wakati wa kampeni zilizo pita!

Hivi hamkumbuki neno UKAPA lilikuwa na Maana gani!!?
Ni kwamba wakati wa Mkapa hela iliondoka mikononi mwa Wananchi,maana ndo alikuwa anajaribu Kuimilikisha Uchumi Serikali.

Mambo hayakuwa matamu kwetu kulinganisha na ilivyo leo.
Ndio maana nawambia Maendeleo ni hatua! Na sio siku mia za Lowassa. Ndio maana kuna msemo wa "ROMA haikujengwa kwa siku moja".

Yale ambayo Kikwete hakuyatimiza Yatatimizwa na Magufuli...hiyo haiondoi Ukweli kuwa Kikwete kafanya Makubwa!

UFISADI:
Kikwete kajitahidi sana kupambana na Ufisadi.
Ndio maana kukawepo na CAG!!! Hiyo ni Uwazi na Uwajibikaji...ndio maana kuna Watu wapo Jela na Wengine mahakamani nk...na ndio maana siku hizi Malipo yanafanywa kwa simu! YOTE HIYO NI JUHUDI ZA KUPAMBANA NA UFISADI!!!

Lakini kubwa zaidi KIKWETE KASIMAMIA KUKATALIWA KWA LOWASSA KUWA MGOMBEA WA CCM kwa sababu hizohizo za KIFISADI. Lowassa ni Fisadi kwenye damu, kwenye roho, kwenye nafsi na kwenye akili yake.

ELIMU hatuko zero...matatizo ni kawaida unapoongoza Watu.

Labda UKAWA mkashangae Kenya!
Maana wapo chini ya Mabadiliko ya UPINZANI uliomng'oa Daniel Arap Moi na Mpaka sasa WAALIMU HAWAPO MADARASANI.

Ama kuhusu kesho;sio Watanzania tu,VIUMBE WOTE HATUJUI KESHO ITAKUWAJE.
Ndio maana Mtikila katokea Njombe kaja kufia Msola!!!

Angejua bila shaka asingesafiri!!!

KAJIPANGE TU.

#HapaKaziTu

Mr Chin
 
jibu na hoja ya mzee kingunge, ya kuwa mkapa alikuta ukuaji wa uchumi ni 4% na akauacha ni 7%jk ameukuta hapo na kuucha hapo hapo!! ina manisha nini? na ni mapendekezo gani ya CAG, aliyotoa na kufanyiwa kazi? hao unaosema wako jela kwa ufisadi ni wapi hao, kina mlamba hiyo miaka 2?!sakata la escrow tuliwajua upande mmoja tu, Unasema tukashangae kenya wakati yanayotokea Tz ni zaidi na ya kenya, ETI Hadi leo rais bado anateua wakuu wa wilaya????!!!!!
 
Acha uongo kijana. Hoja za Kingunge hazina ushahid wa tafiti za kisayansi.
 
Muulize Amon Mpanju atakuwa aliliona. By the way hujapata DC zamu hii?
Naona sasa unakimbia dai lako la kwanza. UKAWA ni watu wa ajabu sana na vigeugeu.
 
jibu na hoja ya mzee kingunge, ya kuwa mkapa alikuta ukuaji wa uchumi ni 4% na akauacha ni 7%jk ameukuta hapo na kuucha hapo hapo!! ina manisha nini? na ni mapendekezo gani ya CAG, aliyotoa na kufanyiwa kazi? hao unaosema wako jela kwa ufisadi ni wapi hao, kina mlamba hiyo miaka 2?!sakata la escrow tuliwajua upande mmoja tu, Unasema tukashangae kenya wakati yanayotokea Tz ni zaidi na ya kenya, ETI Hadi leo rais bado anateua wakuu wa wilaya????!!!!!

Kila mara watu wanamtaja Kikwete, hivi naye anagombea kupitia chama gani? Hebu tulinganishe wagombea, lowasa na Magufuli nk
 
Naona sasa unakimbia dai lako la kwanza. UKAWA ni watu wa ajabu sana na vigeugeu.

Dai gani la kipofu kuona mwezi ulilosema? Nimekujibu umuulize Amon Mpanju maana ni kipofu dai gani tena ulilo nalo? Au un hasira za kukosa u DC? Yani unazidiwa hadi na Asumpta? si bora uache tu
 
Naona hoja yenu ya Mageuzi ya Kenya unaikimbia.
 
jibu na hoja ya mzee kingunge, ya kuwa mkapa alikuta ukuaji wa uchumi ni 4% na akauacha ni 7%jk ameukuta hapo na kuucha hapo hapo!! ina manisha nini? na ni mapendekezo gani ya CAG, aliyotoa na kufanyiwa kazi? hao unaosema wako jela kwa ufisadi ni wapi hao, kina mlamba hiyo miaka 2?!sakata la escrow tuliwajua upande mmoja tu, Unasema tukashangae kenya wakati yanayotokea Tz ni zaidi na ya kenya, ETI Hadi leo rais bado anateua wakuu wa wilaya????!!!!!

Ku-maintain ukuaji wa uchumi kwa 7% kwa miaka 10 mfululizo mbona ni credit? Iwapo gari limetoka speed 40km/h hadi 70km/h na kumaintain hiyo speed. Je utasema gari haliendi?
 
Naona hoja yenu ya Mageuzi ya Kenya unaikimbia.

Hoja ya mageuzi ya kenya? Jifunze ku compare reality basi usiwe kichwa maji kiasi hicho. Hivi mabadiliko ya kenya yalitokea wakatia gani na mgomo umetokea lini? Rais alikuwa Uhuru tangia wakati huo?
 
Lowassa hana alilofanya zaidi ya UFISADI wa Richmond, et al

Hivi unapotushtakia sisi wananchi tufanyeje ikiwa ulishindwa kumchukulia hatua wewe mwenye mamlaka? kama rich mond ni yake mbona hakuchukuliwa hatua kali kwa makosa hayo
 
Hoja ya mageuzi ya kenya? Jifunze ku compare reality basi usiwe kichwa maji kiasi hicho. Hivi mabadiliko ya kenya yalitokea wakatia gani na mgomo umetokea lini? Rais alikuwa Uhuru tangia wakati huo?
Hiyo ndio reality mnayo ililia eti, Kenya waliitoa KANU basi na nyie muitoe CCM, mkitegemea mema, sasa vipi, mbona kule Kenya walimu wamegoma kuingia madarasani? Hebu compare na reality ya kila kitu bure ya Lowassa, maana huo ndio UJAMAA. Kwenye ubepari kama USA na UK, lazima ulipie Shule, hapo sasa.
 
Ku-maintain ukuaji wa uchumi kwa 7% kwa miaka 10 mfululizo mbona ni credit? Iwapo gari limetoka speed 40km/h hadi 70km/h na kumaintain hiyo speed. Je utasema gari haliendi?

Hivi mahitaji yakiongezeka huku uwezo wako wa kumudu ukiwa ule uke unakuwa unaendelea au unarudi nyuma?
 
Ndio maana Mh. Magufuli anataka kujenga Tanzania ya Viwanda kama ambavyo Taiwan walifanya miaka ya 80. Laiti kama mngekuwa mnajifunza kutoka nchi mbali mbali, msinge fuata Lowassa anaye sema Ujamaa na Ukomonisti wa kuwapa Shule bure tokea Kindergarten mpaka University. Huo Ujamaa na Ukomonisti wa kila kitu bure ndio ulipo wafikisha sasa, lakini bado kipofu hawezi kuona hilo.
 
Hiyo ndio reality mnayo ililia eti, Kenya waliitoa KANU basi na nyie muitoe CCM, mkitegemea mema, sasa vipi, mbona kule Kenya walimu wamegoma kuingia madarasani? Hebu compare na reality ya kila kitu bure ya Lowassa, maana huo ndio UJAMAA. Kwenye ubepari kama USA na UK, lazima ulipie Shule, hapo sasa.

Kanu ilipotolewa aliingia Kibaki na mchango wake kwa Kenya unajulikana. Kwa hiyo mgomo wa walimu kenya ni sababu ya mabadiliko waliyofanya? Tanzania hatujawahi kuwa na migomo? sababu ilikuwa ni nini? Hivi Unatumia nini kufikiri?
 
Kumbe ni ni basi, wakati inafahamika kuwa KANU sio inayo ongoza Kenya na Kibaki alitoka KANU kama ambavyo Lowassa katoka CCM, do you see the logic? Sasa mabadiliko ni yapi? Hivi wewe kupewa kila kitu bure, I mean, shule yako iwe bure tokea Kindergarten mpaka University kwa staili ile ile ya Nyerere, ni kuenda mbele au kurudi kule kwenye Ujamaa ndio njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio huru na sawa?
 
Ndio maana Mh. Magufuli anataka kujenga Tanzania ya Viwanda kama ambavyo Taiwan walifanya miaka ya 80. Laiti kama mngekuwa mnajifunza kutoka nchi mbali mbali, msinge fuata Lowassa anaye sema Ujamaa na Ukomonisti wa kuwapa Shule bure tokea Kindergarten mpaka University. Huo Ujamaa na Ukomonisti wa kila kitu bure ndio ulipo wafikisha sasa, lakini bado kipofu hawezi kuona hilo.

Kwa hiyo magufuli ni mkweli kusema atajenga viwanda? Serikali inaweza kujenga vingapi? kwa takwimu zako ni vingapi vimekufa? na je atajenga viwanda gani na gani?
 
Back
Top Bottom