Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

Just the series of lack of speaking wisdom.The lackness of this aspect of wisdom is just an indicator that one might be not wise in totality....not only in speaking.
 
Huyo mbunge anayeitwa 'hako kanakotokana na CHADEMA' unaweza ukadhan ana mwili mdogo kama Lady Jay Dee, kumbe ni kipande cha baba na mtu mzima kimakamo. [HASHTAG]#MatusiYaRejaReja[/HASHTAG]
 
Mbunge anaomba Kwa Heshima akianza na neno Mh.Rais ..Lakini unajibiwa kwa Dharau Mbele za Waliokuchagua..
Sababu anajua huwezi kumjibu
Na Ukikaa Kimya yayo shida..
Huu ni Ubaguzi wa Wazi..
Kuna ulazima wa Maandamano Kupinga huu Uonevu..
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Kumwombea ni sawa na kumwombea shetani awe malaika
 
............. hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.
Sitaki kuamini kwamba maneno haya yanatokana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Nitaamini tu pale mtakaposema yametokana na MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Maendeleo yanaletwa na kodi tunazolipa sisi Mkulu aache kudanganya watu kama maendeleo yanaletwa na ccm Jodi anakusanya za nini sasa

Sent from my HUAWEI Y530-U051 using JamiiForums mobile app
 
Tulia dawa iingie mkuu, makelele hayatosaidia jamaa ndo yuko hapo mpaka 2020
Lakini kwa nini mnasahau? Mbowe alishawahi kusifiwa Rais alipotembelea Hai.
Sijui husahau au husifia kinafiki, tuna kazi.
Raisi wetu kushauriwa ni muhimu sana.
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Tunaelekea kubaya sana
 
Kwacmimi navyoelewa mbunge sio mfadhali na hatawahi kuwa mfadhili. Yeye kazi yake ni kuisimamia serikali itoe huduma kwa wananchi wa jimbo lake. Jukumu la maji sio la mbunge. Serikali ndio inapaswa kuwapatia wananchi wake maji. Hivyo kusema mbunge alete yeye maji sio sahihi kiutendaji maana sio jukumu lake. Mwisho wa uelewa wangu. Mwenye uelewa tofauti nao,ba anieleweshe
 
Maneno ya KIBAGUZI hapo angelisema mwingine maneno kama "....... hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

Simpingi Mtukufu Mkuu wetu wa nchi ila sitaki kuamini kwamba CCM ndio pekee wanaolipa KODI ambazo zinaleta maendeleo ya nchi yetu adhimu. MKUU ANGELIFUTA VYAMA LIBAKI LICCM PEKE YAKE ili tupate fursa za kunyamaza tukijua hakuna tena demokrasia wala katiba inayoviunda vyama na utashi wa kukosoana.
Hapa sasa kiongozi umenichanganya,si wanasema CCM ndiyo inayokusanya kodi au huwa sioni vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom