Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA

bas wa upinzani tusilipe kodi ili tujiudumie wenyewe, kwann mzee anabagua kias hiki, kiukweli tunakoelekea sio kuzur ata kidogo,Eee Mungu turehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenukuu maneno mwenyewe halafu unashindwa kabisa kuyaelewa!!! Kuna maneno gani ya Ubaguzi hapo? "hata hako ka Chadema nitashirikiana nako" hapa kwanza amemsifia mbunge wa Chadema kwa kutumia kiambishi pendezeshi cha "Ka"

Lakini ili huyo mbunge anayemsifia kwa kutumia kiambishi pendezeshi cha "ka" asilewe sifa, akaamua kumweka wazi kuwa japo atashirikiana nae lakini siku nyingine asirudie kuwadanganya Raia kuwa ana uwezo wa kuleta maji wakati uwezo huo hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuja hata mswaki hujapiga unasema lissu mchochezi poor tanzania

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
bas wa upinzani tusilipe kodi ili tujiudumie wenyewe, kwann mzee anabagua kias hiki, kiukweli tunakoelekea sio kuzur ata kidogo,Eee Mungu turehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni ujinga na ufala Rais kutokujua kazi ya Mbunge ni nn,

Kazi ya Mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka sehemu husika na kuzifuatilia kwa ukaribu,serikali ndyo yeye mamlaka ya kuwaletea wananchi wake akisaidiana na Mbunge kama mwakilishi wa wananchi.....

Narudia tena ni ujinga na upumbavu Rais kutokujua wajibu wa Mbunge...
 
Raisi wa awamu hii anamambo ya kitoto sanaa yaani kila jukwaa yy ni siasa tu dhihaka na upuuzi, hivi anajiona yy ndo raisi wakwanza tz kuleta maendeleo...hivi ao wabunge wa ccm wao wanatoa hela zao mifukoni kuleta maendeleo hajui hii nchi ni mfumo wa vyama vingi kwaio anataka kutwambia ili serikali ilete maendeleo eneo husika sharti mbunge awe kutoka chama tawala.., thus very stupid and shame ..huyu jamaa aache ubaguzi wa kijinga hii sio nchi yake wala ya ccm wala upinzani.. Very stupid shwaiiin!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuja hata mswaki hujapiga unasema lissu mchochezi poor tanzania

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app

Mchochezi no 1 ni yy mwenyewe.....

Baba nyumban ukiwa unaongea hovyo hovyo na watoto wataanza kuongea hovyo hovyo sasa iweje umwite mtoto wako we n mchochezi wakati maneno hayo hayo unayotoa wew wanao wameiga kutoka kwako....

Poor this guy,

Mim nahisi something is wrong in his head..
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!

!
!
Kuna kumuombea mtu kwa mazuri na kumwombea kwa mabaya. Uchaguzi ni wako
 
Raisi wa awamu hii anamambo ya kitoto sanaa yaani kila jukwaa yy ni siasa tu dhihaka na upuuzi, hivi anajiona yy ndo raisi wakwanza tz kuleta maendeleo...hivi ao wabunge wa ccm wao wanatoa hela zao mifukoni kuleta maendeleo hajui hii nchi ni mfumo wa vyama vingi kwaio anataka kutwambia ili serikali ilete maendeleo eneo husika sharti mbunge awe kutoka chama tawala.., thus very stupid and shame ..huyu jamaa aache ubaguzi wa kijinga hii sio nchi yake wala ya ccm wala upinzani.. Very stupid shwaiiin!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu kiongozi ni Mshamba sana,

Yeye anafikiri n best kuliko Wengine,

Anayejiona ni best kuliko wengine huyo mtu mwogope sana
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Wewe kama hutaki kumuombea kaa kimya haujalazimishwa. Wapo wengi wanaomuombea ili azidi kukamua wajinga wajinga wanaopinga pinga.
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!

Unanichokonoa eeeh??
 
Kwani kampeni zake wakati huo 2015 zilijawa na nini kama si dhihaka, majigambo, matusi lakini Watanzania mkapiga kura na kumchagua huyo huyo...

Sasa ni muendelezo tu wa sera zilezile za wakati wa kampeni, vumilieni tu...
 
"Wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA (Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" JPM, Kakonko, 21/07/2017.

"Zitto ni mpinzani lakini anapenda maendeleo. Na mimi nitaleta maendeleo kwa sababu mbunge wenu anachapa kazi, hachapi maneno. Tatizo la maji hapa litakuwa historia" JPM, Kigoma, 22/07/2017.

MyTake:
Wabunge wawili, tena wote wa upinzani. Mmoja anabaguliwa, anadhihakiwa, anabezwa hadharani na kuitwa "ka mbunge ka Chadema", mwingine anasifiwa na kuitwa "mchapakazi, anayependa maendeleo". Halafu mtu huyohuyo anaomba aombewe na kusema anapenda haki na usawa. Anyway Mungu yupo.!!
Soma data hizi ndiyo utajua why tumefika hapa
tapatalk_1496512277281.jpeg
 
Back
Top Bottom