... Hebu mliopo Ulaya tuulizieni mbunge au mwakilishi anapokea ..... ?
Sina uhakika kama alisema hayo,na kama alisema basi alikuwa katika kufurahisha wengine mbona pia yupo Mbunge huko huko upinzani aliedai wabunge waongezewe chochote au hukumsikia huyo.Nikirudi kwa Slaa huyu nimemweka katika hesabu za magoigoi ukimlinganisha na Shujaa Zitto ambae hakurudi nyuma,Slaa kama si goigoi asingeliondoa moyo wa kuibua ufisadi ndani ya bunge .lakini akasema eti anaepuka kama yaliyomkuta Zitto ,ila huo ni uwongo mkubwa kuliko yote,hapa anaona mshahara na posho havitakuwepo,na kama hiyo hoja yake ya kutaka wakatwe fedha basi yeye angechukua kiasi kile anachoona kinastahiki kupata na kilichozidi akapiga makelele kwamba si haki yake na irudishwe huko huko bungeni,hapo angefahamika na kueleweka.Mi sijakuelewa, inaonekana umesahau Slaa alikuwa mbunge wakwanza kukubali mapato yake yakatwe kodi, wale walio wengi toke chama cha kijani, wakapinga.
Sina uhakika kama alisema hayo,....
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ,sasa kila kitu nikifanya peke yangu itakuwa ndo ndo ndo.
Ndio maana inabidi ufanye research kabla ya kuja jamvini!
wakati mwingine hata vichaa wanajieleza kuliko wewe!
hili neno Ufisadi tumelichukua toka kwa jirani zetu Kenya. Nakumbuka jinsi rais wa zamani huko Kenya alivyokuwa akipiga kelele kuhusu ufisadi wa watendaji wake.
We kwenu si Zanzibar...jirani zenu Oman
We kwenu si Zanzibar...jirani zenu Oman
Kha, Nyani wee... Mimi mbunge wangu hata kama ni wa CCM sio fisadi. Barabara anabaniwa tu kwakuwa alimzidi kete mwenzake ambaye huenda ndiye fisadi. Well done mbunge wangu Kamala
Nyoooo!
we mnyoo kweli kweli...eti worm-unamzungumzia yule mwenye Phd fake?
Asha
Nyoooo!
Asha
duh...taratibu mama...