Tumesikia wabunge wanapiga kelele waongezewe posho mara nyingi sana achilia hii wanayoomba ya katiba.
Sasa hawa wabunge najiuliza wangekuwa ni walinzi wanaolinda majengo ya serikali usiku wangeenda wapi kuanzisha hoja za kujiongezea posho?
wangekuwa ni waalimu wau madaktari wanashinda wodini na wagonjwa wangeanzisha hoja wodini ya nyongeza ya posho?
kwa nini wamekuwa wakiendekeza ubinafsi sana.laki 3 inaweza ikawa ndogo sikatai lakini je kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hapo ndio pa kuanzia na kuacha wengine walio mahututi kama waalimu na madaktari?
kweli mtu kama mengi au bakresa ukimlipa posho mil 10 kwa siku atakwambia ni ndogo,lakini je watanzania tumefikia kuishi maisha hayo?Dodoma hotel nzuri elfu 50 tena classic,tumia tena elfu 50 kwa chakula inayobaki hifadhi bado mnaona ni ndogo?wakati dispensary ifano hii ya makuburi hata panadol za sh 50 hakuna?wananchi wenyewe wengi kipato duni mnataka wafe mbaki pekee yenu?