Mkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.Lusinde mtera nae cjui maana tumevumilia taarabu zake tumezichoka
Unaota au?Mdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Peke yako hutampigia lakini Kawe ni Mdee mpaka anakuwa mbibi hatutamuacha kamwe..Kipi aendelee na ukuu wa wilaya unamtoshaNdiyo, lakini sasa hampigii.
Na mimi simpigii kura.
Nieleze fujo ambazo wamezifanya zisizokuwa na chanzo?Kwa hiyo wabunge waleta fujo tuwafagilie hivyo hivyo tu?
Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
Yaani unataka wabunge wa CCM wawe wanamtukana akae kiimya?Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
sioti, bali nimechoka kuvumilia wabunge wachochea fujo, wagonvi na mizigoUnaota au?
Wabunge wa CCM wengi huiba kura uchakachuaji mtupuWabunge 90% Wa CCM hakuna chochote kurudi labda wizi tena wa kura hakuna jinsi
Sawa msukule wa LumumbaMkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.
Ukweli ni kwamba majimbo mengi ya vijijidi kama kwa lusinde bado yataendelea kubaki ccm kwa sababu nyepesi tu - uelewa wa watu huko bado ni mdogo, na pia mahaba yao kwa chama tawala ni ya kihistoria!.
Tukirudi kwenye majimbo ya mijini, hasa majiji makubwa huko watu wengi huwa hawana msimamo - wanapenda kumuona mbunge wao yupo active ktk kuwaondolea kero zao mbalmbal (bunge lililopita mnyika alifanya vzr eneo hili, hasa kero ya maji ubungo).
Majimbo ya mijini wapiga kura huwa ni vigumu kdg kuwadanganya (mjini shule!)
Kwa maoni yangu, wapinzani wengi mpaka sasa bado hawajafanya vzr majimboni mwao - na wakiendelea na "kasi" hii 2020 wengi watapukutika bungeni!!
Kwa upande wa chama tawala wao kdg ni tofauti, baadhi wanaweza kusalimika kwa upepo wa ngosha, ikumbukwe ngosha kwa kasi hii 2020 Mungu akituweka hai hatakuwa na mpinzani!!
Ndugai 2015 alimtandika mtu bakora,2020 atamkong'ota mtu rungu kabisa kuhakikisha anarudi mjengoni!ndugai. mwakyembe.
Fujo huwa na chanzo chake wewe upo upande wa wale wabunge wa CCM chanzo cha vurugu?sioti, bali nimechoka kuvumilia wabunge wachochea fujo, wagonvi na mizigo
Mbona Ndugai analeta fujo...yaani mdee ndio kiboko yao ubaya ubayaa tusioti, bali nimechoka kuvumilia wabunge wachochea fujo, wagonvi na mizigo
Kuna mbunge wa CCM kuleee segerea alinipa mpaka papuchi ili nisaini matokeo ya uongo waliyochakachua..magundi nikampakaza tena kwenye gari na matokeo sikusaini lakini eti akatangazwa kashinda...Wabunge wa CCM wengi huiba kura uchakachuaji mtupu
Mpigie simu Ndugai anayo orodha ya makosa yaoNieleze fujo ambazo wamezifanya zisizokuwa na chanzo?
Chazo cha fujo sikuzote honekana pale mwenye fujao anapofanya fujoFujo huwa na chanzo chake wewe upo upande wa wale wabunge wa CCM chanzo cha vurugu?
Wabunge 90% Wa CCM hakuna chochote kurudi labda wizi tena wa kura hakuna jinsi
Nilikua mkoani sikumpgia binafsi na makazi huko jimbo la kawe,yaan mkuu ukiona yaliyopo huko utashangaa is it Dar es Salaam?hafai mkuu wanakawe inabid tu kufumbua macho kumkata hamna namna.Ulimpigia kura 2015??
Huo nao ni mchango wa msiba ulitaka atoe K au?Mbunge Ester matiku wa Tarime mjini...naskia kazi yake ni kutoa maji ya kunywa misibani tu...huko anaeza someshwa namba