pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,369
- 14,608
Jana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo.
Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua kugeuka ili ikiwezekana nichangie lkn cha ajabu nilipigwa na mshangao kukuta kumbe ni wabunge tena wa Kanda ya Ziwa,
Mbunge aliyekuwa anapinga kwa nguvu zote RELI na kusifia MALORI ni Mbunge ambae alikuwa na super market kadhaa siku za nyuma inayoanzia na herufi I......Mbunge huyu alikuwa anasema manneno haya 'nashangaa serikali inakimbilia kujenga reli wakati reli haina tija kwani reli inaweza kukuletea mzigo wako hadi mkangoni? Kwanza wenzetu Kenya na Uganda nao sasa ni mwendo wa malori ndio yana tija, Afrika Kusini yenyewe imeshindwa ktk sekta ya reli kwani haina tija'
Nilimshangaa sana Mh. huyu, kama ndio wabunge tunaotarajia walete mabadiliko Nchi hii mie naona hakuna kitu.