Wabunge wengine hawajui kabisa dunia inakokwenda

Wabunge wengine hawajui kabisa dunia inakokwenda

Kama yule alietafsiri kauli ya pombe kua kila Kijiji itapewa matrekta ili kuongeza Tija kwenye kilimo,kumbe ilikua ni bange sio trekta tena..!kweli ukiwa sisiemu inahitaji kuana roho ya chuma.uongo na udanganyifu ndio uwe kama ibada
 
Wasi wasi wangu ni kama yule mmiliki wa hiyo hoteli hajawatumia bado , maana yule mwakilishi wa gairo naye balaa
Yule jamaa ni hatari kwa hayo mambo. Nina hakika ameshatafuna warembo pale.
 
Topic imetoka toka suala la reli, imekuwa ngono? Kweli
Tanzania bila maendeleo inawezekana
nimecheka hadi kutokwa na machozi. I really love JF yani stress inaisha kabisa.

Cheseya maku wewee!
 
Kishimba tatizo shule hana huyo kapata vijihela vya ulisi tu ndo vikamtoa lalikini kilaza yule
 
Naomba kujua mbunge yoyote wa kabila la Wasukuma aliwahi kufanya kitu remarkable tokea nchi ipate uhuru! Mwanza imeendelezwa na either wakuu wa mikoa wageni au mbunge mgeni (wa kabila nyingine) mfano Wenje ni Mnyaruo wa Rorya.
 
Topic imetoka toka suala la reli, imekuwa ngono? Kweli
Tanzania bila maendeleo inawezekana
Sasa Reli mimi inanihusu nini!!?? Wewe Kama inakuhusu changia haujashikiwa gobole. Kuna wengi wamepita kimya kimya tu na kuendelea na Reli....wewe gwiji ndio umeona la hasha lazima upayuke.
 
Sasa Reli mimi inanihusu nini!!?? Wewe Kama inakuhusu changia haujashikiwa gobole. Kuna wengi wamepita kimya kimya tu na kuendelea na Reli....wewe gwiji ndio umeona la hasha lazima upayuke.

Anzisha uzi WAKO wa ngono, hapa wacha tuchangie, tulioguswana reli, niliisha changia
 
Anzisha uzi WAKO wa ngono, hapa wacha tuchangie, tulioguswana reli, niliisha changia
Unatafuta bwana au ni nini!? Wapi hapo nimeandika kuhusu ngono!!?? Mimi nimeandika kuhusu wahudumu nadhifu wa Morena. Mawazo yako wewe ndio yako kingono na kungonoka ndio maana ukalidandia lombo kwa mbele.
 
Kua makini hapa sio Instagram.
 
Jana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo.

Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua kugeuka ili ikiwezekana nichangie lkn cha ajabu nilipigwa na mshangao kukuta kumbe ni wabunge tena wa Kanda ya Ziwa,
Mbunge aliyekuwa anapinga kwa nguvu zote RELI na kusifia MALORI ni Mbunge ambae alikuwa na super market kadhaa siku za nyuma inayoanzia na herufi I......Mbunge huyu alikuwa anasema manneno haya 'nashangaa serikali inakimbilia kujenga reli wakati reli haina tija kwani reli inaweza kukuletea mzigo wako hadi mkangoni? Kwanza wenzetu Kenya na Uganda nao sasa ni mwendo wa malori ndio yana tija, Afrika Kusini yenyewe imeshindwa ktk sekta ya reli kwani haina tija'

Nilimshangaa sana Mh. huyu, kama ndio wabunge tunaotarajia walete mabadiliko Nchi hii mie naona hakuna kitu.
wewe nae mnafiki kwa nini usimtaje jina?
 
Rukia hafati kwa mwanaasha wa KAUNTA mtoto mweupe wa kirangi, amekula sana bia zangu yule mtoto, na kuna kengine kembamba kapo restaurant walahi nikirudi dodoma lazima nile vinono.

Ni mimi

HARBINDER SING SETH
yaani mafuska utayajua tu
 
Wasi wasi wangu ni kama yule mmiliki wa hiyo hoteli hajawatumia bado , maana yule mwakilishi wa gairo naye balaa
Acha ale vyake siunajuwa hiyo kitu haina makombo.
 
Wabunge wa ccm wakiwa nje wanakuwa na mawazo mazuri wakiingia mjengoni wanalishwa sumu yakijani wanakuwa na kazi ya kusapoti ujinga ilimradi aonekanekasapoti vinginevyo uchaguzi ujao harudi
 
Back
Top Bottom