Wabunge wengi wamelala usingizi wa pono. Hawasemei miradi iliyotekelezwa maeneo yao

Nitajie wilaya yenye project hata robo 3 ya hizi!
  • Uwanja wa kimataifa wa ndege
  • Hospitali ya rufaa ya kuhudumia kanda
  • Bandari kubwa na ya kisasa!
  • Majengo ya kisasa ya TRA,Tanesco na Bohari ya dawa MSD!
  • Taa za kuongozea magari!
  • Uwanja wa kimataifa wa mpira wa miguu
  • Chuo kikuu
Hapa achana na miradi kama maji,umeme na vituo vya afya ambayo ni common maeneo yote ikiwemo Chato!
Brother nyie mnahangaika bure, yanayofanyika Chato ni kwa manufaa ya watanzania wote. Hospitali, uwanja wa ndege, n.k vyote siyo Mali ya Magufuli, ni Mali ya umma.

Mtanzania anaruhusiwa kuishi sehemu yeyote hapa nchini, anaruhusiwa kufanya biashara sehemu yeyote, anaruhusiwa kupata matibabu sehemu yeyote, kwa hiyo hata Kama ni kweli sehemu ile inapata miradi mingi ni kwa manufaa ya watanzania wote siyo waliopo Chato tu.

Kwa hiyo hata wewe unayepiga kelelele kupinga miradi inayotekelezwa huko baadae wewe au watoto wako mkawa wanufaika wa miradi hiyo, Tanzania ni yetu sote.
 
Wabunge wote ni wa CCM na hawana mpango wa kujishuhulisha kuwasaidia wananchi kwasababu wanajua vyovyote vile watarudi bungeni kwa kura za wizi kwasababu wapiga kura ni makondoo.
 
Chuo cha Veta
Nitajie wilaya yenye project hata robo 3 ya hizi!
  • Uwanja wa kimataifa wa ndege
  • Hospitali ya rufaa ya kuhudumia kanda
  • Bandari kubwa na ya kisasa!
  • Majengo ya kisasa ya TRA,Tanesco na Bohari ya dawa MSD!
  • Taa za kuongozea magari!
  • Uwanja wa kimataifa wa mpira wa miguu
  • Chuo kikuu
Hapa achana na miradi kama maji,umeme na vituo vya afya ambayo ni common maeneo yote ikiwemo Chato!
 
SAMAHANI NJE YA MADA ,NAOMBA KUULIZA ETI KALE KAWIMBO TANZANIA YA VIWANDA KAMEISHIA WAPI MBONA SIKASIKII AU VIMETOSHA,,,NINA VYEREHANI VYANGU TUNNE NATAKA KUANZISHA KIWANDA NAOMBA MUONGOZO.
 
Brother nyie mnahangaika bure, yanayofanyika Chato ni kwa manufaa ya watanzania wote. Hospitali, uwanja wa ndege, n.k vyote siyo Mali ya Magufuli, ni Mali ya umma.

Mtanzania anaruhusiwa kuishi sehemu yeyote hapa nchini, anaruhusiwa kufanya biashara sehemu yeyote, anaruhusiwa kupata matibabu sehemu yeyote, kwa hiyo hata Kama ni kweli sehemu ile inapata miradi mingi ni kwa manufaa ya watanzania wote siyo waliopo Chato tu.

Kwa hiyo hata wewe unayepiga kelelele kupinga miradi inayotekelezwa huko baadae wewe au watoto wako mkawa wanufaika wa miradi hiyo, Tanzania ni yetu sote.
Hii sababu inatoka wapi?Yaani mnataka ndio uwe utamaduni kila Rais akiingia basi aelekeze miradi nyumbani kwao kisa yeyote anaruhusiwa kwenda huko kuitumia?Kweli ndio uwezo wenu wa kufikiri unawaamba hivyo au mmepofushwa na mahaba?

Kama ndivyo,kwanini mimi nisishawishike kumpigia kura Rais wa kabila langu ili naye akiingia madarakani aelekeze miradi kwa wingi Kigoma?Hii mentallity ikikomaa si ndio mwanzo wa ukabila na ukanda?Msiangalia tu hapa karibu mnapoona,angalieni na kesho ya Tanzania!Hata Mobutu alifanya hivi kijijini kwao,leo hii analaaniwa kwa kupendelea nyumbani kwao!

Kweli siku zijazo game za Taifa stars tutakuwa tunaenda kuangalizia Chato?Kutoka Chato mpaka Mwanza ni karibu,kwanini hospitali ya Rufaa isingejengwa mahali rahisi kufikika na wakazi wa Rukwa,Kagera na kigoma?
Badala yake wote hawa inabidi matibabu yao ya rufaa waende Mwanza au Chato!Huu ni uungwana kweli?

Kodi tunalipa wote,vipaumbele vipangwe kulingana na mahitaji!
Hebu fikiri kama Mkapa angepeleka ule uwanja wa DSM huko kijijini kwao alikozikwa,ingekuwaje?Tuache unafiki!
 
- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!

- Hospitali za Rufaa jiongeze boss! Tangu Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani imejenga ngapi na Kipindi cha pili vilevile.

- Ujenzi wa Chuo kikuu hata Mikoa mbalimbali yenye viwanja hivi vipo kwenye Wilaya husika kama Chato. Ukipata kiwanja kikubwa eneo kama Chato litaibeba Kanda ya Ziwa hususan Mkoa mkubwa saana wa GEITA!

MWISHO MSISAHAU HIZI ZOTE NI AJIRA AMBAZO WATANZANIA WATAPATA
Kwanini iwe chato tu?
 
Hii sababu inatoka wapi?Yaani mnataka ndio uwe utamaduni kila Rais akiingia basi aelekeze miradi nyumbani kwao kisa yeyote anaruhusiwa kwenda huko kuitumia?Kweli ndio uwezo wenu wa kufikiri unawaamba hivyo au mmepofushwa na mahaba?
Kama ndivyo,kwanini mimi nisishawishike kumpigia kura Rais wa kabila langu ili naye akiingia madarakani aelekeze miradi kwa wingi Kigoma?Hii mentallity ikikomaa si ndio mwanzo wa ukabila na ukanda?Msiangalia tu hapa karibu mnapoona,angalieni na kesho ya Tanzania!Hata Mobutu alifanya hivi kijijini kwao,leo hii analaaniwa kwa kupendelea nyumbani kwao!
Kweli siku zijazo game za Taifa stars tutakuwa tunaenda kuangalizia Chato?Kutoka Chato mpaka Mwanza ni karibu,kwanini hospitali ya Rufaa isingejengwa mahali rahisi kufikika na wakazi wa Rukwa,Kagera na kigoma?Badala yake wote hawa inabidi matibabu yao ya rufaa waende Mwanza au Chato!Huu ni uungwana kweli?
Kodi tunalipa wote,vipaumbele vipangwe kulingana na mahitaji!
Hebu fikiri kama Mkapa angepeleka ule uwanja wa DSM huko kijijini kwao alikozikwa,ingekuwaje?Tuache unafiki!
Angekuwa anafanya hiyo miradi Chato pekee na sehemu nyingine pamesimama hapo ungepata sababu ya msingi kulalamika.

Ukianza na Hospitali za Kanda, Kanda ya ziwa haina Hospitali ya Kanda inayomikikiwa na serikali, Hospitali kujengwa Chato ni sahihi ili mikoa jirani Kama Kagera na kigoma iweze kunufaika na Hospitali hiyo.
Kanda ya kusini inajengwa Hospitali ya Kanda huko mtwara. Kanda ya Nyanda za juu kusini Kuna Hospitali ya Kanda Mbeya. Kanda ya kazikazini Kuna Hospitali ya Bombo Tanga, Kanda ya Kati kuna Hospitali ya Benjamini Mkapa, Kanda ya mashariki ndo usiseme.

Ukija kwenye viwanja vya ndege kila mkoa viwanja vya ndege vinapanuliwa na kuboreshwa zaidi. Mkoa wa Geita haukuwa na kiwanja Cha ndege, ndio hicho kilichojengwa Chato.

Viwanja vya mpira kila mkoa vitajengewa/kuboreshwa viwanja vilivyopo.

Maofisi ya serikali na taasisi zake kila wilaya yanajengwa. Vyuo vya Veta vinajengwa karibu kila wilaya.

Miradi ya barabara ndo usiseme, nitajie wilaya hata moja ambayo barabara hazijengwi.

Kwa hiyo ukiangalia miradi mingi inayofanyika Chato mkoani Geita haina tofauti na miradi inayofanyika mikoa mingine. Chato nako Kuna watu wanahitaji maendeleo Kama yanayofanyika sehemu nyingine.

Ni kwa sababu tu Rais anatokea kule basi wapinzani wasiokuwa na hoja Kama akina Lisu wanaona ni kete za kuwainua na wanapata washabiki wasiongalia Mambo kwa upana wake.
 
Yaani huoni aibu kabisa?Watu wa Kigoma,kagera,Shinyanga na Rukwa waende wakatibiwe Chato?Wakati huo huo kuna Bugando mwanza ambapo si umbali mkubwa kutoka Chato,kwanini hospitali hiyo ijengwe Chato?Kwanini isingejengwa hata Nyakanazi ambako ni rahisi kufikika na mikoa hiyo minne niliyotaja na watu wa Chato wakatumia Bugando?Kwanini uwanja wa ndege basi usingejengwa Kahama,mji uliokua kwa kasi sana kibiashara na badala yake ukajengwe Chato!
Yaani uwanja wa mpira wa pili kwa ukubwa nchini ukajengwe Chato,game za taifa stars nyingine zikachezewe Chato,hivi kweli hamuoni tatizo hapo?Kuna miradi kama maji,barabara na vituo vya afya,hivyo hatuwezi kuhoji maana ni miradi ya muhimu kila mahali!Hii mingine hapana!
Nitajie wilaya moja tu nchini yenye miradi Mingi kwa pamoja kama Chato!
Uwingi wa miradi hiyo Chato,hauna uhusiano wowote na Rais kuwa mzawa wa Chato?Hilo ndilo swali la msingi zaidi!
Acheni kupofushwa na mahaba yenu,jambo hili halina afya kwa ustawi wa nchi yetu na umoja wetu!
Kuna kila dalili kila mtu kumchagua mtu kwa kabila lake huko mbeleni kama hali hii haitakomeshwa!
 
Kinachofanyika chato tungekuwa Kama marekani impeachment dhidi ya jiwe ingeshaanza Mara moja...
 
Angekuwa anafanya hiyo miradi Chato pekee na sehemu nyingine pamesimama hapo ungepata sababu ya msingi kulalamika.

Ukianza na Hospitali za Kanda, Kanda ya ziwa haina Hospitali ya Kanda inayomikikiwa na serikali, Hospitali kujengwa Chato ni sahihi ili mikoa jirani Kama Kagera na kigoma iweze kunufaika na Hospitali hiyo.
Kanda ya kusini inajengwa Hospitali ya Kanda huko mtwara. Kanda ya Nyanda za juu kusini Kuna Hospitali ya Kanda Mbeya. Kanda ya kazikazini Kuna Hospitali ya Bombo Tanga, Kanda ya Kati kuna Hospitali ya Benjamini Mkapa, Kanda ya mashariki ndo usiseme.

Ukija kwenye viwanja vya ndege kila mkoa viwanja vya ndege vinapanuliwa na kuboreshwa zaidi. Mkoa wa Geita haukuwa na kiwanja Cha ndege, ndio hicho kilichojengwa Chato.

Viwanja vya mpira kila mkoa vitajengewa/kuboreshwa viwanja vilivyopo.

Maofisi ya serikali na taasisi zake kila wilaya yanajengwa. Vyuo vya Veta vinajengwa karibu kila wilaya.

Miradi ya barabara ndo usiseme, nitajie wilaya hata moja ambayo barabara hazijengwi.

Kwa hiyo ukiangalia miradi mingi inayofanyika Chato mkoani Geita haina tofauti na miradi inayofanyika mikoa mingine. Chato nako Kuna watu wanahitaji maendeleo Kama yanayofanyika sehemu nyingine.

Ni kwa sababu tu Rais anatokea kule basi wapinzani wasiokuwa na hoja Kama akina Lisu wanaona ni kete za kuwainua na wanapata washabiki wasiongalia Mambo kwa upana wake.
Haahaa nyie teteeni tu.Akiingia wa kusini kila kitu kikifanyika kusini msimsongesonge
 
Wana JF hamjambo?

Nimeona watu wengi wanaojiita great thinkers wakizungumzia miradi inayofanyika Chato!

Hii inasikitisha sana kwa macho yootee kuangalia sehemu moja! Wabunge wengi wanafahamu nini kimetekelezwa na kinaenda kutekelezwa kwenye maeneo yao! Ila wapo kimyaaaa! Kinachofanyika Chato ni kwasababu kimepata wasemaji kwenye mitandao ya Jamii na media nyingine.

Natamani JF ingeweka utaratibu tukaona mambo makubwa yanayofanyika nchi nzima. Wekeni taarifa ya kila Wilaya, inakaa wiki nzima au siku 3 unaweka Wilaya nyingine!

Mambo yaliyofanyika Chato na miradi iliyopelekwa ni michache kuliko Wilaya mbalimbali nchini! Tuache wivu na macho ya husuda!! Mkapa aliamua kujenga Lushoto sasa shida iko wapi? Kuna wengine wamenunua majumba ughaibuni nk Hata Mzee Kikwete amelisemea sana hili na yeye yalimkuta ikawa nongwaaa!

JF ni mahali Sahihi sasa tupate taarifa za Maendeleo Wilaya kwa Wilaya. Msisahau kuonesha na idadi ya watu kwenye eneo husika ili wale wa Kaskazini waone walivyopendelewa!

Sasa tuache maneno tuweke data! Mwisho mfahamu Chato wanaishi Watanzania wenzetu hivyo wakipelekewa Maendeleo ni Sawa! Acheni upotolo! "Chicken vision"! Eagle vision ndio mpango mzima.
Wacha nimtikise Babu Tale, akienda Bungeni ahakikishe Morogoro vijijini inakuwa kama CHATO
 
Haahaa kwa Sasa kwenu asipotoka rais msahau...hakuna Cha bunge Wala nn wote wameufyata

Back
Top Bottom