Wabunge wawili wa Viti Maalum CHADEMA wahamia NCCR Mageuzi

Hivi ile sheria tuliyokuwa tunaisikia sikia kwamba mtu akihamia chama kingine itambidi asubiri miaka miwili ndio aombe kugombea nafasi anayotaka ilikuwa nchi gani?

Au haikupitishwa?

La pili, hivi kwanini hawa wanaotangaza kuhama chama wanasema baada ya bunge kuisha kwanini wasihame sasa hivi tu?

Kama issue ni mafao, kwanini wasisubiri bunge liishe ndio watangaze rasmi kuhama? Wakisubiri bunge liishe Kwanza watakosa nini?

#usimshauri mwanao/mdogo wako kuwa mwanasiasa kama ana akili timamu, mwambie akitaka kuiweza siasa ya bongo atafute vitu vinavyo haribu ubongo kidogo atumie Kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema kulikoni!?, hili sio la kufumbia macho hili uongozi wa chama ipo haja sasa ya kujitafakari, suala la kusema kuwa hawa watu wananunuliwa naona kwasasa halina mashiko inatakiwa wajitafakari kama chama wajue tatizo liko wapi kisha wafanye marekebisho makubwa kwa masilahi ya chama na watanzania kwa ujumla wenye imani na hiki chama.
Mkuu mie pia nakataa hawanunuliwi ila wameshajua uwezekano wa upinzani kutangazwa mshindi achilia mbali kushinda jimbo itakua mtihani.

Sasa waoga ndio wanakimbia kutafuta political future ila sio kwamba kuna matatizo makubwa humo CHADEMA.

Ingekua sisi wanachama ndio tunahama kwa maelfu hapo kungekua na hofu. Trust me kampeni zikianza utakuja kuniambia mafuriko yatakayopatikana ndio tutarudi humu kujua shida ni viongozi kuhama au wanachama kuhama.

Sample ndogo sababu hakuna mikutano ya Jangwani kma zanami, angalia number hta ya wakosoaji hku mitandaoni, watu wanaopinga serikali cjui kina mange cjui kigogo wana viewers followers 3 M plus kwahyo inatoa sample kuwa wanaounga mkono upinzani ni wengi bado otherwise wangekua wamepuuzwa kitambo.

Mikutano ikianza utanielewa mkuu
 
Mkuu hiyo sheria haisaidii,halafu hao wabunge kule CCM hawawezi kupata nafasi ya kugombea,sasa we unadhani watapita kwenye uchaguzi kupitia chadema ?

Wakitangaza baada ya bunge kwisha ili wapate pensheni zao hama hama ya kuchafua chadema haitakuwa na mwamko kwahiyo huu mdo ndo wametarget ili kuonyesha mahindo flani
Hivi ile sheria tuliyokuwa tunaisikia sikia kwamba mtu akihamia chama kingine itambidi asubiri miaka miwili ndio aombe kugombea nafasi anayotaka ilikuwa nchi gani?

Au haikupitishwa?

La pili, hivi kwanini hawa wanaotangaza kuhama chama wanasema baada ya bunge kuisha kwanini wasihame sasa hivi tu?

Kama issue ni mafao, kwanini wasisubiri bunge liishe ndio watangaze rasmi kuhama? Wakisubiri bunge liishe Kwanza watakosa nini?

#usimshauri mwanao/mdogo wako kuwa mwanasiasa kama ana akili timamu, mwambie akitaka kuiweza siasa ya bongo atafute vitu vinavyo haribu ubongo kidogo atumie Kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wabunge hawawezi kupita nccr ,hapo wanatafuta tu favor toka CCM. Kama kweli nccr ina hiyo nguvu tutaona kama watapata hata wabunge 10
Mkuu mie pia nakataa hawanunuliwi ila wameshajua uwezekano wa upinzani kutangazwa mshindi achilia mbali kushinda jimbo itakua mtihani.

Sasa waoga ndio wanakimbia kutafuta political future ila sio kwamba kuna matatizo makubwa humo CHADEMA.

Ingekua sisi wanachama ndio tunahama kwa maelfu hapo kungekua na hofu. Trust me kampeni zikianza utakuja kuniambia mafuriko yatakayopatikana ndio tutarudi humu kujua shida ni viongozi kuhama au wanachama kuhama.

Sample ndogo sababu hakuna mikutano ya Jangwani kma zanami, angalia number hta ya wakosoaji hku mitandaoni, watu wanaopinga serikali cjui kina mange cjui kigogo wana viewers followers 3 M plus kwahyo inatoa sample kuwa wanaounga mkono upinzani ni wengi bado otherwise wangekua wamepuuzwa kitambo.

Mikutano ikianza utanielewa mkuu
 
Chadema kulikoni!?, hili sio la kufumbia macho hili uongozi wa chama ipo haja sasa ya kujitafakari, suala la kusema kuwa hawa watu wananunuliwa naona kwasasa halina mashiko inatakiwa wajitafakari kama chama wajue tatizo liko wapi kisha wafanye marekebisho makubwa kwa masilahi ya chama na watanzania kwa ujumla wenye imani na hiki chama.
Kwani kuna shida gani? Wakitimiza matakwa ya hao ujue wataondoka waliobaki.
Kwako kipi bora?
 
Wanaohamama ni wanasiasa kwa masilahi yao binafsi sio wananchi na wananchi ndio nguvu ya chama na ndio wapiga kura hivyo wahame tu sisi tunachohitaji ni Tume Huru ya Uchaguzi tu.

Wanamchafua Mbowe ili kutengeneza uhalali wa hawa kuhamia NCCR kwa faida ya CCM wanasahau wananchi tuna akili na kuelewa mchezo huu mchafu wa kisiasa unaoendelea.

CCM hii kwa miaka mitano imepuuza watu na maendeleo yao na badala yake imekumbatia maendeleo ya vitu kwa gharama ya watu hivyo hakina support ya umma kwani wamefanya maisha ya watu na maendeleo yao kurudi nyuma na kwa kujua ukweli huu, ndio maana sasa wanatumia nguvu kubwa kutaka kuua upinzani wanasahau upinzani ni matokeo ya wao waliopewa dhaman kushindwa ku-deliver.

Kama wanabisha na wanaamini wanakubalika,wakubali tume huru ya uchaguzi.

Waacheni waendelee na mchezo wao ila wakati unakuja watakuja kujua walikuwa wanatwanga maji kwenye kinu.
Kama CDD

Kama CDM wanaamini wananchi ndiyo nguvu ya umma kwa nini walimchukua Lowassa 2015?
 
Duh! Nepotism

Kumbe ndio maana sababu ya kutishia kumfukuza dogo Lijualikali CDM kaoa nje ya chama.

Dj zero na Mukya.

Mdee na Esther.

Makene na Masele.

Diwani wa sombetini na mkewe viti maalumu(jina nimesahau)

Mwaalimu na Matiko(walizaa tu) sina uhakika kama wanaendelea.

Mrema na mbunge wa viti maalum(jina nimesahau)

Lissu na viti maalum(marehemu dada yake)

Ndio tuwape nchi.
 
Back
Top Bottom