Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

jaman wengine msiwashangae sana kwan wanakifanya bungen ndio kilichowafikisha humo, eg Komba alikuwa mwimbaji, kwa hiyo yumo bungen kwa ajili ya kuanzisha nyimbo za ccm km vile, chama chetu cha majambaz chajenga wizi...!
 
Ndungai, anna makinda, mwenyekiti wa bunge, viti maalum viondolewe vyoote
 
Uliwahi kuwaona wakichapa usingizi na kuunga mkono hoja hata mambo ya kihuni ?
mkuu kwa sababu wao ni wapinzani haihitaji akili ya chuo kikuu kujua. kwani kwa vyovyote vile hakuna wanachoweza kuunga mkono kiwe na tija au kisiwe na tija, so long ni waupinzani. hoja yangu hapa sio viti maalum tu vya ccm havina tija bali hata vya chadema na CUF. Period.
 
lyamtonga agustini pese mbilli mrema
wassira tayson
wazee wote ambao wameshastaafu kazi
 
1. Edward Lowassa
2. Shibudha
3. Dr Kingwangwala
4. Iddi Azzan
5. Azzan Zungu
6. Wasira
7. John Komba
8. William Lukuvi
9. Lusinde
10. Augustino Lyatonga Mrema
11. Job Ndugai
12. Viti maalum wote wa CCM, CDM, CUF, TLP, NCCR-Mageuzi ...
13. Chibulunje
14. PakaChawene
15. Eng Stella Manyanya
16. Nchimbi
17. Wabunge wote wa CCM toka Singida
18. Wabunge wote wa CCM toka Kagera, Moshi Arusha na Songea
19. Nyambari Nyangwine

waongezee wengine
 
Pinda
Mkullo
Ngeleja
Malima
Makinda
...... hawa ni baadhi tu.
 
mkuu kwa sababu wao ni wapinzani haihitaji akili ya chuo kikuu kujua. kwani kwa vyovyote vile hakuna wanachoweza kuunga mkono kiwe na tija au kisiwe na tija, so long ni waupinzani. hoja yangu hapa sio viti maalum tu vya ccm havina tija bali hata vya chadema na CUF. Period.

Zungumzia viti maalum, hapo kidogo kuna mjadala.
Kambi ya upinzani ni tumaini la wengi.
 
1. Edward Lowassa
2. Shibudha
3. Dr Kingwangwala
4. Iddi Azzan
5. Azzan Zungu
6. Wasira
7. John Komba
8. William Lukuvi
9. Lusinde
10. Augustino Lyatonga Mrema
11. Job Ndugai
12. Viti maalum wote wa CCM, CDM, CUF, TLP, NCCR-Mageuzi ...
13. Chibulunje
14. PakaChawene
15. Eng Stella Manyanya
16. Nchimbi
17. Wabunge wote wa CCM toka Singida
18. Wabunge wote wa CCM toka Kagera, Moshi Arusha na Songea
19. Nyambari Nyangwine

waongezee wengine
Who is this ?
 
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine

waongezee wengine

Injinia Stella Manyanya
Anne Makinda
Chiligati
Nkamia
Yule m/kiti wa bunge aliyemtimua Wenje..
Jenista Mhagama
Deo sanga
Omari Nundu
Hawa Ghasia
 
Mie kama ingekuwa hiari yagu unafukuza wote unabakisha Magufuli peke yake na unaanza upya uchaguzi wa Rais na Wabunge wake maana hilo Bunge ni hasara tuu, Kwanza yanalalalala tuu hapo Bungeni.
 
Back
Top Bottom