Mkuu haya mabo ya ajabu yaani sredi zingine bana FULL CRAP na ndiomaana wakongwe wanakimbia kwa pumba kama hiziTopic za kudiscuss zimeisha kweli?
ngoja nitafute moja nilete
Thanx mkuu walau umejibu ki great thinkerFuta viti maalumu vyote...., Punguza majimbo, tunahitaji wabunge si zaidi ya mia moja..., hapo hata wakiendelea kufuja pesa zetu kwa maposho hatutaumia sana

na wewe nenda ukatumwe.
nashangaa huyu jamaa sijui kwa nini wamempa ubunge!
kuna mweny CV yake..?
Joseph Mbilinyi, Esther Matiku, Wenje, Saturnbless Lema, Mchungaji wa Iringa..........................
Uliwahi kuwaona wakichapa usingizi na kuunga mkono hoja hata mambo ya kihuni ?