Wabunge wapya wa CUF vs CHADEMA waparuana Dodoma

Siasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.

Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.
Hawa watu wa ACT ni mamburula sana. Uliona wapi simba akajenga urafiki na kondoo? Kondoo anaweza akajisahau kwamba simba hamli yeye anawala kondoo wengine tu lakini siku kondoo wengine wakiisha kondoo lazima aliwe tu.
 
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.

Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.

Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.

Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.

Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.

Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!

Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!

Yangu ni macho na masikio!

Kama kweli wana umoja na wanawaunga mkono wa Zanzibar ukawa hawastahiki kuingia bungeni,watakapoingia ni kuwadhoofisha wenziwao wa Zanzibar,lkn kwa tamaa zao za posho chadema wataingia fasta bila kuangalia uwepo na matatizo ya wenzao.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu, yaani act wamejisahau kabisa wapo busy kutetea ccm na kupambana na ukawa. Shame shame

Ile hela ya wakat wa kampeni si imekata?au umeaamua kujitolea ili angalau upate viti maalum??
 
Wameishagawana viti maalumu na kuwpa makahaba wao sasa.ni kelele tu,
 
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.

Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.

Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.

Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.

Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.

Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!

Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!

Yangu ni macho na masikio!
Pumbavu!!!!
 
ulisahau na hiki wana chadema kuwa busy kuwahujumu cuf kama walivyofanya segerea na sehemu nyingine ili wawe wapinzanu peke yao

Wakati mnaisema CDM Segerea how about CUF ilivyosimamisha Ubunge Kigamboni na Mbunge wa CDM kushindwa kwa kura 300 wakati wa CUF kapata kura 2000???

Tukiamua kuita SPADE tuiite SPADE na siyo kijiko kikubwa.Sioni sababu ya kuishambulia CDM wakati CUF imefanya makosa yale yale.
 
mkuu ur mistaken, mm sina chama Bali napenda siasa safi na uzalendo

Msema ukweli mpenzi wa Mungu,tetea ITIKADI yako,maana waswahili wanasema MAPENZI SAWA NA KIKOHOZI huwezi kuficha.Mwenzio Dr.Tulia kaficha wee mwisho tamaa ya USPIKA kajifunua mwenyewe.
 
Huyu mwenye hii mada katumwa au punguani flani, huu udaku na umbea peleka CCM au ACT achana na UKAWA hawa wanajuana ukiona wameweza kuwanyang"anya majimbo ya vigogo ujue kazi ilikuwa sio rahisi, sasa naona mmeanza uchochezi nadhani Cyber crime inakuhusu ww, KOVA KAMATA HUYU FASTER MFUNGULIE MASHITAKA, anasema nchi za magharibi zinataka uchaguzi urudiwe ni nchi gani na hizi habari eumezitoa wapi hasemi, kama vipi wahi Lumumba kachukue bahasha leo Ijumaa kabla milango haijafungwa
 
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.

Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.

Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.

Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.

Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.

Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!

Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!

Yangu ni macho na masikio!
Nyie chagadadema achaneni na hao cuf
 
Taharifa umezipata kutoka wapi? We Keng.... Unajua hizi propaganda hazitawasaidia nyie ACT na CCM.

Arafu tofautisha kati ya Mikutano mitatu na vikao vitatu vya Bunge
 
Back
Top Bottom