Multiple ID at work? Huu uzi unaletwa kwa ID nyingine tena...
Yes anajiita MsemajiUkweli. Wanahangaika kuliko kuku wa kutaga
Multiple ID at work? Huu uzi unaletwa kwa ID nyingine tena...
Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.
Kwa katiba ipi?Labda mtumie ya CCMSafari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.
Dunia nzima wanaotaka uchaguzi zanzibar urudiwe ni ccm tu sababu wameshindwa vibaya, bora washindwe tu hakuna namna tena tone z'bar ikigeuka dubai kibiashara
Safari hii hakuna ujinga atakaekosa vipindi vitatu nje, ndugai fanya kazi yako.
Uzushi tu
good ask... Please mention those countriesumeandika
hizo habari umezitoa wapi ??? Please tutajie hizo nchi za magharibi zilizoridhia
usipakazie mavi ya fisi em hapa
embu zitaje nchi za magharibi zinazotaka uchaguzi urejewe
mkuu ur mistaken, mm sina chama Bali napenda siasa safi na uzalendo
Kama CUF kweli wameshinda wanahofu nini kurudia uchaguzi?!
ulisahau na hiki wana chadema kuwa busy kuwahujumu cuf kama walivyofanya segerea na sehemu nyingine ili wawe wapinzanu peke yaoSiasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.
Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.
good ask... Please mention those countriesumeandika
hizo habari umezitoa wapi ??? Please tutajie hizo nchi za magharibi zilizoridhia
usipakazie mavi ya fisi em hapa