Wabunge wapya wa CUF vs CHADEMA waparuana Dodoma

Siasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.

Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.

Wakimaliza wataanza ugomvi wa posho na mgawanyo wa ruzuku maana wameishaanza kutoa macho na viti maalum:lock1:
 
Ni upumbavu mkubwa kufikiria kuwa CUF na CHADEMA zinaweza kutofautiana katika mambo hayo uliyoyataja, nchi za magharibi haziwezi kuwa ndumilakuwiri kama nchi za kiafrika, huo ni ujinga wako kutaka kuwasemea hizo nchi.
 
Hii taarifa imekuwa copied and pasted from somewhere! Very poor you
 
Siasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.

Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.

anzisha thread yako ambayo itajikita kwenye majungu zaidi
 
Sasa kama huna chama unachangia nini kwenye siasa. Upo kufitinisha tu, mwisho unasema baadhi ya nchi za magharibi zimelidhia uchaguzi urudiwe. Non sense kabisa!!
 
Gazeti la serikali ni nini? Mbona unaongea pumba!!
 
Hivi hujui kurudia uchaguzi ni ghalama x2 ya mwanzo.
 
Yaani umeona segerea tu ndio jimbo lililohujumiwa?
 
Sasa we ashasidiria wameparuana wapi hapi? Unajua maana ya kuparuana?
 
Wote wako sahihi ... Critical thinking inahitajika hapa .. Honestly Wabunge wa CUF wanahoja nzito zaidi .... Kumpata Speaker atakaeweza kuruhusu mageuzi makubwa ya kimfumo na kisera ni muhimu pia ...
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.

Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.

Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.

Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.

Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.

Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!

Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!

Yangu ni macho na masikio!
 
Siasa za Bongo raha sana, mwanachama wa ACT yupo busy kupambana na vyama vyenzake pinzani na kama CDM na CUF wanaounda UKAWA. Lakini huyu mwanachama hapambani ili kuiwezesha ACT kushika dola kwa kupambana na chama kilichopo madarakani.
Kaelekeza akili yake kusnitch na kutunga uongo ulio na ukweli ili tuu kuwafurahisha akina fulani.

Mkuu fanya kazi, imarisha ACT yako, UKAWA achana nao mambo yao watamaliza wenyewe.

...Act sio chama pinzani mkuu; pliz futa hilo kuanzia leo kwenye akili yako.Act ni genge la wasaliti, lililoundwa na ccm, mahususi kwa ajili ya kupunguza nguvu ya vyama halisi vya upinzani Tanzania.
Hiki ulichokiona hapa, ni muendelezo wao wa kufanya kazi kulingana na maelekezo ya mabosi wao (ccm).
 
Kama kweli wana umoja na wanawaunga mkono wa Zanzibar ukawa hawastahiki kuingia bungeni,watakapoingia ni kuwadhoofisha wenziwao wa Zanzibar,lkn kwa tamaa zao za posho chadema wataingia fasta bila kuangalia uwepo na matatizo ya wenzao.

ACT hataingia?
 
Enyi wabunge wetu,kumbukeni nyie ni wawakilishi wa wanachi katika majimboyenu ambayo yana watu wa vyama vyote ikiwemo UKAWA,ccm na vingine,tumewatuma bungeni mkatuwakilishe wananchi na sio kuwakilisha vyama,wananchi tunahitaji kuwakilishwa bungeni.Tunawaomba mnapofika huko akili za kuambiwa mchanganye na za kwenu,vinginevyo hatutawaelewa.
 
Taarifa nilizozipata zinadai kuna mvutano mkubwa ndani ya UKAWA kuhusu mstakabali wa UKAWA kwenye bunge la 11 ambalo liko mbioni kuanza Jumanne ijayo.

Taarifa inasema kuna kundi la viongozi na baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanadai ni lazima wahudhurie kikao hiki ambacho wanadai ni muhimu kwa mstakabali wa Kambi ya Upinzani katika maisha ya bunge la 11 kwa sababu kinaenda kumchagua Spika, kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu na uchaguzi wa Naibu Spika.

Kundi lingine la wabunge na baadhi ya viongozi wa UKAWA hasa CUF wanadai kufanya hivyo watakuwa wana legitimise, legalise and justifying the outcome of General Election in Tanzania and Zanzibar. Hawawezi kuanza kuisimamia na kuishauri serikali ambayo wanadhani ni illegitimate and illegal.

Kuna baadhi ya viongozi na wabunge wengine hasa wa CHADEMA mpaka sasa hawana msimamo kamili kwa sababu wanafahamu kama watakataa kuitambua serikali ya Rais Magufuli ina maana hawataingia bungeni wakati Katiba ya nchi katika Ibara ya 71(1)(C) inasema Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake kama atakosa kuhudhuria vikao vya Mikutano ya Bunge Mitatu mfululizo bila ya ruhusa ya Spika.

Kuna habari pia zinasema baadhi ya nchi za Magharibi zimeridhia Uchaguzi wa Zanzibar urudiwe tena. Uamuzi huu unawaweka UKAWA na hasa CUF katika wakati mgumu kutokana na msimamo wao.

Ama kweli, a matter of which you are ignorant is like a dark night!

Inahitaji uwe kama mjinga ili uzielewe vizuri siasa za vyama vya upinzani!

Yangu ni macho na masikio!

tupe japo ushahidi wa taarifa yako hatupo hapa kujadili utoto
 
enyi wabunge wetu,kumbukeni nyie ni wawakilishi wa wanachi katika majimboyenu ambayo yana watu wa vyama vyote ikiwemo ukawa,ccm na vingine,tumewatuma bungeni mkatuwakilishe wananchi na sio kuwakilisha vyama,wananchi tunahitaji kuwakilishwa bungeni.tunawaomba mnapofika huko akili za kuambiwa mchanganye na za kwenu,vinginevyo hatutawaelewa.

wabunge wetu washukuru katiba pendekezwa kuondoa kipengele cha wananchi kuwawajibisha wabunge moja kwa moja. Vinginevyo mchezo wa kususia vikao vya bunge eti kwa sababu za vyama tungewashughulikia mara moja.
 
Back
Top Bottom