Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

itafikia wakati sasa watu wanaweza kuwa na wasiwasi na wanasiasa wanaotokea huko!! si ubaguzi lakini hata ukiangalia takwimu zinaonyesha waziwazi.
 
Kafulila na Machali jiungeni ACT kwani ninyi ni wazalendo wa kweli achaneni na huo usanii wa ukawa hawana lolote wasiwaingize ktk kapu la wasaka tonge utendaji wenu tunaujua
 
Mosesi machali ni mnafiki sana,yeye ndie aliyesababisha kafulila kugombana na chama chake kabla ya kufikia makubaliano,lkn leo anahasi chama?kweli henreko nyerere alisema kitu na nanukuu kuna bilion 150 zimetengwa kwa nia kuvunja baadhi ya vyama
 
Kafulila na Machali jiungeni ACT kwani ninyi ni wazalendo wa kweli achaneni na huo usanii wa ukawa hawana lolote wasiwaingize ktk kapu la wasaka tonge utendaji wenu tunaujua

Wakijiunga act sio makosa,makosa ni stail ya unafiki,kwanini wanafanyia hila vyama wanavyoondoka?
 
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu wa ACT- Wazalendo akiongea na Clouds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia Naibu Katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR mageuzi tayari amejiunga rasmi na chama hicho.
mi napenda kuwaambieni kuwa hicho chama cha ACT hikitafika mbali maana wote wanaoenda huko wanategemea kupata uongozi sasa kama wakikosa ndo ugovi utakapoanza mi nawaambieeni tena hawatafika mbali. ukiwa mroho wa madalaka hutafika mbali.
 
Mosesi machali ni mnafiki sana,yeye ndie aliyesababisha kafulila kugombana na chama chake kabla ya kufikia makubaliano,lkn leo anahasi chama?kweli henreko nyerere alisema kitu na nanukuu kuna bilion 150 zimetengwa kwa nia kuvunja baadhi ya vyama
Hana chake Kasulu safari hii,hata ahamie REPUBLICAN
 
Hawa ACT wawaache tu, sisi tuko busy kugombea nafasi ya urais tu, mbowe kishatuzunguka kavuta mpunga kwa lowassa amuuzie chama, kweli siasa za kibongo hazina maana kabisa

Unauhakika na unachoandika au ndo walawale mnaotumika
 
jamaa ameshaifanya Kigoma ni mali yake, anachotaka yeye lazima wananchi wafuate!! huu ni utumwa mamboleo.

Zito ndio Raisi wa kigoma popote alipo wananchi wa kigoma tupo.

Hatuyumbishwi chadema na nccr tumewaachia watu wa kaskazini.

Tuliipokea vizuri nccr, tukaipokea vizuri chadema sasa tumechoka kuburuzwa,ni zamu ya chama cha ukombozi wa kweli,
ACT WAZALENDOOOOOOOOOO.
 
Back
Top Bottom