Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Njoo na uhakika wa Habari yako. Nani kakwambia Kafulila na Mkosamali watakikimbia ka li Machali? Hao ni makamanda halisi
 
Naambiwa chadema mnafanya maamuzi magumi ya kurudia matapishiyenu kwa kupokea mafisadi-nguli baada ya CCM kufanya maamuzi sahihi ya kurudishia chama heshma yake

Itakuwa ni matapishi ya CCM na huku CDM tunafanya recycle tu! Usiwe na hofu sana juu ya suala hili!
 
Kama ni kweli nawaonea huruma sana hawa wabunge wa Zamani NCCR. Maaana inaweza tusiwaone tena bungeni kipindi kijacho. Kwa uahauri wangu, wange baki NCCR na kama kuna shida wazimalize hawa bado ni vijana sana hawatakiwi waanze kuwa malaya wa vyama mapema hivi. Ni ushauri wangu.
 
Definetly! Kumuondoa zitto was suicidal! Cdm is no more. more to happen come October finale!

Labda unejiuliza kwanza .... ni wabunge wangapi aliwaleta alipokuwa kiongozi ndani ya CDM!! What's going on here is just a Hype nothing else...Time will tell!!
 
Wakati Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikivuna maelfu ya wanachama wa chama tawala CCM, uku hali siyo shwari ndani ya NCCR - MAGEUZI chama ambacho kinaunda muungano wa UKAWA. Ni jana tu aliyekuwa mbunge wa Kasulu mjini Moses Machali na Naibu katibu mkuu bara pamoja na aliyekuwa M/kiti wa Vijana Taifa Deo Meck walijiunga na ACT. Leo imesemekana kuwa vigogo wengine wa chama hicho watakiama na kutimkia ACT vigogo hao ni mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila, Mkosamali Mbunge wa Muhambwe na Nicolas Clinton M/kiti wa vijana jimbo la Nyamagana Mwanza.

bungeni hawatarudi kama watagombea ubunge
 
Itakuwa sio move nzuri na ina dalili zote za usaliti no matter what!
Kama kweli wanaamini walikusudia hivyo na wanaweza ni kwa nini wasingeondoka kabla ya kumalizika Bunge!? Itakuwa vigumu kuwatofautisha na Alfi, Shibuda au hata EL endapo atafanya anachotaka kufanya, kufa kupo lakini kufeni kijasiri!
 
Vijana wana miemko sana sasa sijui NCCR - MAGEUZI wamekosa nini vijana wadogo kama hawa na wenye ushawishi katika jamii yetu. Tatizo ni kumpenda Zitto au ni chama chao natamani kupata majibu kutoka kwao nitafurahi sana.
 
yasemekana..
LOWASA ANAKARIBIA KUSIMIKWA UGOMBEA URAIS UKAWA.
 
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu wa ACT- Wazalendo akiongea na Clouds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia Naibu Katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR mageuzi tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

Acha siasa nyepesi hizo. Nimeongea na Machali amekanusha umbea wako.
 
Back
Top Bottom