Wabunge walazimishwe kutembelea majimbo yao..

Wabunge walazimishwe kutembelea majimbo yao..

hii dhana ya kutegemea kutekelezewa na serikali nayo naiona imepitwa na wakati,

mimi nilikua nawaza kwamba hawa wabunge wanaochaguliwa kwenda kuwakilisha wananchi sio tu wakawakilishe bungeni...hapana,

mbunge akishakua ktk ile position anakua na exposure kubwa na conection nyingi...kwanini asirudi jimboni kwake akae na watu wake waone changamoto zao na wajadili jinsi ya kuzikabili,

lets say...jimboni kwangu kuna vijiji vinatenganishwa na mto hivyo kukosa mawasiliano ya uchukuzi na mambo mengine....mimi kama mbunge naongea na wananchi tunakubaliana kama hatuna ela ya kujenga daraja basi tutafute mwekezaji (mwisani) atujengee daraja alafu ndani ya muda fulani tuwe tunalipia na huo muda ukiisha daraja liwe letu,

naamini wabunge uwezo wa kutafuta wawekezaji wanao sio lazima mpaka serikali ije ilete suruhisho.....hiyo ndio maana ya kiongozi, kiongozi lazima uwe na VISION bwana.
Mkuu Mr Miller

Haya ni mawazo mazuri sana. Ila kiuhalisia hatuwezi kusema dhana ya kuitegemea serikali mathali katika kuhakikisha miundombinu bora imepitwa na wakati na kwamba iwe ni jukumu la wananchi wa eneo husika na mwakilishi wao.

Kama tukienda na dhana hii, ile dhana ya kukusanya kodi, kulipa ushuru ili ituletee maendeleo tutaifuta?

Kwamba sasa hatuna haja ya kulipa kodi kwa sababu kodi ndio hutuletea miundombinu, madawa kati hospitali zetu na pia kulipa watumishi?

Kama tukienda na dhana hii, si ajabu baada ya kujenga madaraja yetu kwa mfano, tutenda mbele zaidi kuwalipisha wapitaji ambao si wamaeneo yetu!....hii italeta utengano na hata uasi!

Lakini pia lazima tutambue hata kama Mbunge atakuwa na connections za namna gani akipata wafadhili lazima wapitie serikalini!...la mradi huo hautaruhusiwa.

Mifano ipo mingi. Kule kwa Lema na Gambo jambo kama hili liliwahi ripotiwa!

Hii inadhihirisha kwamba kila jambo lifanyikalo lazima kuwepo na ushawishi au mkono wa serikali. Ku undermine kuitegemea serikali ni jambolisilokubalika kabisa!

Hata swala la kujikusanyia hela mumlipe huyo muhisani lazima mkono wa serikali na vibali vitolewe.

Nachoweza kusema ni kwamba, mahali pekee ambapo serikali inaweza kubanwa kupeleka maendeleo kwa wananchi ni kupitia BUNGE lenye meno makali ya kuisimamia serikali, kutunga, kufuta au kuboresha sheria na sera lakini pia khiwajibisha serikali pae ambapo imeshindwa kutimiza wajibu wake.

Je tuna BUNGE le ye uthubutu wa kuyatenda haya?
 
Kuhudhuria vikao vya Bunge ndio a sole role of a parliamentarian!.... hayo ya kukaa na wananchi ni minors chini ya role hii kuu!

Kwanza si kweli kwamba tuna Top-down process katika mfumo wetu.

Hii top down hutumika pale tu maamuzi yakishafanywa na High level street bureaucrats, na kushushwa kwa ajili ya utekelezaji. Hujenga strong chain of commands kuhakikisha kilichiamuliwa KINATEKELEZEKA!

Ila katika mchakato wowote wa ku innitiate jambo, serikali imekuwa ikitumia Bottom up approach!...kuanzia katika utungwaji wa sera, sheria na maswala kama hayo.

Na si jambo jema, kubadirisha mfumo rasmi kwa sababu ya kuenenda kwa kadri ya matakwa ya kiongozi wa nchi ili tu kukidhi hitajio lake pasipo kufanya UTAFITI makini kama kweli mfumo uliopo hauwezi kuleta tija kwa mtawala tuliyenae!

mnnnhhhh yaani kukaa na wananchi ni minor??……mmnhh umenishangaza kwa hii statement mkuu

..naona unakinzana .sijui unapinga nini ? lol

.unasema kuna bottom up system ambayo inatumika already kwenye utelekezaji wa sera/sheria kwa serikali ya sasa ,kama hii system ipo tayari kwa nini unapinga wabunge wasi engage na wananchi kupitia vikao???

.
 
Nisome taratibu utanielewa.
Nisaidie kujibu kaswali haka.

Ni nini kazi kuu ya Mbunge? (Uraia darasa la nne)

Pili. Kwa ufupi BUA hutumika pale serukali inapotaka kuibua, kutunga au kufanya mabadiriko ambayo kwa kiasi kikubwa yanahitaji concerns ya wananchi (stakesholders)

Na kwamba TDA hutumika pale ambapo tayari serikali imeshafanya maamuzi juu ya jambo flani, na hivyo kuhitaji utekelezaji wake kea ukamilifu mkuu!

Je sijaelewrka bado Rebecca?
 
Mkuu Mr Miller

Haya ni mawazo mazuri sana. Ila kiuhalisia hatuwezi kusema dhana ya kuitegemea serikali mathali katika kuhakikisha miundombinu bora imepitwa na wakati na kwamba iwe ni jukumu la wananchi wa eneo husika na mwakilishi wao.

Kama tukienda na dhana hii, ile dhana ya kukusanya kodi, kulipa ushuru ili ituletee maendeleo tutaifuta?

Kwamba sasa hatuna haja ya kulipa kodi kwa sababu kodi ndio hutuletea miundombinu, madawa kati hospitali zetu na pia kulipa watumishi?

Kama tukienda na dhana hii, si ajabu baada ya kujenga madaraja yetu kwa mfano, tutenda mbele zaidi kuwalipisha wapitaji ambao si wamaeneo yetu!....hii italeta utengano na hata uasi!

Lakini pia lazima tutambue hata kama Mbunge atakuwa na connections za namna gani akipata wafadhili lazima wapitie serikalini!...la mradi huo hautaruhusiwa.

Mifano ipo mingi. Kule kwa Lema na Gambo jambo kama hili liliwahi ripotiwa!

Hii inadhihirisha kwamba kila jambo lifanyikalo lazima kuwepo na ushawishi au mkono wa serikali. Ku undermine kuitegemea serikali ni jambolisilokubalika kabisa!

Hata swala la kujikusanyia hela mumlipe huyo muhisani lazima mkono wa serikali na vibali vitolewe.

Nachoweza kusema ni kwamba, mahali pekee ambapo serikali inaweza kubanwa kupeleka maendeleo kwa wananchi ni kupitia BUNGE lenye meno makali ya kuisimamia serikali, kutunga, kufuta au kuboresha sheria na sera lakini pia khiwajibisha serikali pae ambapo imeshindwa kutimiza wajibu wake.

Je tuna BUNGE le ye uthubutu wa kuyatenda haya?
kweli chief, na ndio kusudi la kukusanya kodi,
hapa sasa naona ndio kuna umuhimu wa kila jimbo kuwa na makusanyo yake ya kodi na matumizi ktk jimbo husika,

ili la kusema tusubirie serikali kuu ifanye ktk kila jambo ndio tunadanganyana na kuibiana japo najua inawezekana sana...ila mfumo wa uongozi tu ndio hovyo,

alafu hili la kutegemea serikali kuu naona ni kama usanii tu kwa mfano huwa nashangaa pale kila mbunge amuulize/amuombe waziri wa maji amfanyie mpango wa maji jimboni kwake hebu fikiria huyo waziri pamoja na watendaji wake watakuwa na uwezo wakufanikisha hilo vizuri ktk kila jimbo?

mengine mimi naonaga mule bungeni wanaongeaga tu ilimradi waonekane wameongea basi lkn utekelezaji wake ni zero kabisa.......wewe hushangai hadi leo hii kuelekea karne ya 22 bado watu wanalilia maji safi, barabara, shule bora na umeme!!!!!

si upuuzi huo!
 
Nisome taratibu utanielewa.
Nisaidie kujibu kaswali haka.

Ni nini kazi kuu ya Mbunge? (Uraia darasa la nne)

Pili. Kwa ufupi BUA hutumika pale serukali inapotaka kuibua, kutunga au kufanya mabadiriko ambayo kwa kiasi kikubwa yanahitaji concerns ya wananchi (stakesholders)

Na kwamba TDA hutumika pale ambapo tayari serikali imeshafanya maamuzi juu ya jambo flani, na hivyo kuhitaji utekelezaji wake kea ukamilifu mkuu!

Je sijaelewrka bado Rebecca?

sikufika la nne mkuu..

ila wabunge wanatakiwa kuwa serve wananchi,

this is commonsense,lol

sasa serikali inajuaje kuna concerns za wananchi kama wabunge hawawatembelei wananchi wao..??

ndio maana hii system ya kuwaachia halmashauri inapaswa kufanyiwa TAFITI ibadilishwe

BUNGE liwe na uhai,kila mbunge achagizwe awe na uchungu na sehemu anayoingoza

nilikua namaanisha pia,kukutana na wananchi mara kwa mara haimaanishi kuwa utakua peke yako unayetakiwa kuwaletea maendeleo bali kukaa na wananchi na kuwahoji kipi wanadhani kitawaletea maendeleo na KUJADILIANA kwa pamoja kuleta maendeleo….
 
pia hii ya wabunge kukutana na wanachi inaweza kuwa rahisi kwake zaidi maana ataweza kukuta kuna vijana wahitimu wa vyuo kwa kozi mbali mbali ambao wangetumika ktk kusaidia jamii inayowazunguka.
 
pia hii ya wabunge kukutana na wanachi inaweza kuwa rahisi kwake zaidi maana ataweza kukuta kuna vijana wahitimu wa vyuo kwa kozi mbali mbali ambao wangetumika ktk kusaidia jamii inayowazunguka.

halafu wanajua mazingira yao na fursa ambazo zinaweza kupatikana sehemu hizo...
 
Mbunge wetu tangu apate ubunge 2015 ameonekana mwaka huu kwenye ziara ya rais.
Hata hivyo mi naona hakuna tija yoyote kutembela jimbo sana sana anaweza akasikiliza kero za wananchi bila kutoa suluhisho lolote
Kuna mkuu wa wilaya,mkurugenzi,afisa maendeleo ya jamii,injinia wa maji,tarura,tanesco n.k kwa kila wilaya. Kazi yao ni kusolve matatizo ya wananchi
 
Mie nimekuwa na mtazamo kama huo toka awali, bahati mbaya sana ukaonekana kana kwamba unakwaza watu😊😊😊

Ila kiukweli Si kazi ya Mbunge kusolve matatizo ya wananchi.

Kazi yao ni kuzisemea shida zwa wananchi kupitia chombo cha Bunge ili Serikali iweze kutenda.

Hii mentality ya kwamba Mbunge analeta maendeleo ndio inawafanya wananchi wawe omba omba kwa mbunge wao. Kazi za kuhakikisha kuna utekelezaji wa jambo flani ni watumishi wa serikali na si wawakilishi wa wananchi.

Wawakilishi wa wananchi wao wanakazi kubwa ya ku influence watu wafanye jambo flani ambalo linatekelezwa na serikali ama wao wenyewe kama jumuia ya eneo lao. Na pia kuwa wasemani wa maswala yanayowagusa wananchi wao kwa serikali.
 
Mbunge wetu tangu apate ubunge 2015 ameonekana mwaka huu kwenye ziara ya rais.
Hata hivyo mi naona hakuna tija yoyote kutembela jimbo sana sana anaweza akasikiliza kero za wananchi bila kutoa suluhisho lolote
Kuna mkuu wa wilaya,mkurugenzi,afisa maendeleo ya jamii,injinia wa maji,tarura,tanesco n.k kwa kila wilaya. Kazi yao ni kusolve matatizo ya wananchi

sijasema afanye vitu peke yake,bali ashirikiane nao hao wote…

.,hivi hao uliowataja kama wapo na wanafanya kazi, mbona kuna haja ya kuwa na wabunge kwenye majimbo?

si watu wachaguliwe randomly tu na sio kwenye majimbo?

watu wachaguliwe hata kama wako mia wote wanatoka Dareslaam wachaguliwe wote wawe watunga sera na sheria

.kwa nini mnawaachia wananchi wawa CHAGUE halafu hamtaki kuonana nao kuwaletea maendeleo?!
 
Na akiwa upinzani ndo anatengwa kabisa.
Mfano mkuu wa mkoa wa Mbeya aliyesema atahakikisha Sugu harudi bungeni 2020,unadhani kuna mtumishi wa serikali atashirikiana naye?
 
hello JF,

kushinikiza wabunge wafanye kilichowapeleka bungeni,

Naomba Magufuli aweke kila mbunge atembelee KWA LAZIMA vikao at least 12,

kwa mwaka,

kwenye majimbo yao

kushirikiana na wenyeviti wa halmashauri ,

Wabunge na wenyeviti wa halmashauri washirikiane na wananchi wa majimbo yao ku identify na kubuni plans za jinsi ya kutatua changamoto za majimbo yao...na ku exploit fursa ambazo ziko karibu yao

Na sio kutembelea majimbo yao pande wanapojiskia...

the current system inawafanya wabunge kuwa lazy

Na hivi tumezuiwa bunge kuliona,kuna wabunge wanakua too comfortable huko ndani..LOL

kama sijaeleweka mods nisaidie,,lol

Mwajiri akiwa hajitambui/hajiamini tutegemee dharau na uzembe wa hali ya juu kutoka kwa mfanyakazi (mwajiriwa)
Watanzania wengi ( wanachama wa vyama vyote vya siasa na wasio wanachama)
wapiga kura tumesahau/tumesahaulishwa nafasi yetu kama WAAJIRI wa
WABUNGE , MADIWANI na wengine wote wanaofanya kazi zao baada ya kupigiwa kura .
 
Mwajiri akiwa hajitambui/hajiamini tutegemee dharau na uzembe wa hali ya juu kutoka kwa mfanyakazi (mwajiriwa)
Watanzania wengi ( wanachama wa vyote vya siasa na wasio wanachama)
wapiga kura tumesahau/tumesahaulishwa nafasi yetu kama WAAJIRI wa WABUNGE MADIWANI na wengine wote wanaofanya kazi zao baada ya kupigiwa kura .

Mkuu acha kufukua makaburi ,,,LOL
 
Back
Top Bottom