fcharles2000
Member
- Aug 12, 2010
- 22
- 5
Duh hii imetulia sana ila kama itaanzishwa kwa kipindi hiki, kila Mbunge atahitaji akodishiwe Yutong kwa kila jimbo moja, zitakua Yutong ngapi hata sijui
Unataka tuokoe fedha ili baadaye zipelekwe Uswisi, wacha zitafunwe na wabunge zibakie hapa hapa.
Hakuna cha Yutong hapo, waende na magari yao hd ofisi ya RC wa mkoa husika, kisha wanapandishwa kwenye Coaster na kupelekwa Dom.
Wa kigoma wanawapitia wa Tabora na Singda, wa Kagera wanawapitia wa Mwanza, na wa Mara wanasogea Mwanza, wanajaa coster1, wa Shinyanga, Geita na Simiyu wanakutana Shy town na kujaa gari moja, hivyo hivyo kwa kanda zote.
Kurudi pia hivyo hivyo.
Hivi Escudo haziwafai kweli? aaaah nimepata wazo, wangepewa magari kutokana na mchango wao bungeni