Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema wasitengeneze hela kwa kudhalilisha wanawake.
Waziri kataka mamlaka husika kulifuatilia hili na kutafuta njia ya kutatua.
Sijui kama anatumia, mbona sura yake ngumu kama ya mwanamume yeyote shupavu? ila nadhani huu ni mwanzo mzuri tukimaliza wana-Music twende na Bungeni kuna uvumi kwamba kuna baadhi ya wabunge wakike wana vaa vikuku bungeni kiasi kwamba inakuwa vigumu sana kuwaonya watoto wa form two wasivae vikuku kwani wanadai vikuku ni kitu cha heshma hata bungeni huvaliwa, mimi sina uhakika kama kuna mbunge anaweza kuvaa kikuku Bungeni huu utakuwa ni uzushi.yule muimba hip hop wa mbeya vip? huwa hatumii mkorogo?
Yaa hii kali, katika kipindi hiki ambapo maisha magumu yanawazonga Watanzania na shiringi kupoteza thamani yake, kiongozi anaamua kujikita zaidi na kufuatilia mavazi ya wanamziki.Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema wasitengeneze hela kwa kudhalilisha wanawake.
Waziri kataka mamlaka husika kulifuatilia hili na kutafuta njia ya kutatua.
Yaa hii kali, katika kipindi hiki ambapo maisha magumu yanawazonga Watanzania na shiringi kupoteza thamani yake, kiongozi anaamua kujikita zaidi na kufuatilia mavazi ya wanamziki.
WASANII WANAOWADHALILISHA WANAWAKE NDIO HAO WALIOKUWA IGUNGA KUISADIDIA CCM ISHINDE LEO WANAWAPONDA MBONA HAWAKUWAONA WAKATI WA KAMPENI NA KUWATEMA??KWELI CCM NI GAMBA LA MAGAMBA YAANI LEO BLUU KESHO NYEUSI HAYA JOTI NA WENZAKO HAMIENI CUF SASA MAANA CUF NA CCM NI MTU NA NYUMBA NDOGO
kazi kwenu
Wawakataze na wasanii wa kike kuvaa kiume kwani kunawadhalilisha wanaume pia.
Unasemea huyu! Kuna dalili ya mkorogo hapo? EPEAN Wenu ndio anapaka mkorogo.
yule muimba hip hop wa mbeya vip? huwa hatumii mkorogo?
Waache ujinga,kuigiza ni kipaji!Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema wasitengeneze hela kwa kudhalilisha wanawake.
Waziri kataka mamlaka husika kulifuatilia hili na kutafuta njia ya kutatua.
Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema wasitengeneze hela kwa kudhalilisha wanawake.
Waziri kataka mamlaka husika kulifuatilia hili na kutafuta njia ya kutatua.
Wabunge wameonyesha kuchukizwa kwao na wasanii wa kiume kuvaa kike kwa kupaka wanja, lipsticks na kuvaa nguo za kike wanapoigiza.
Waziri ameomba wakanywe kwakuwa wanadhalilisha wanawake. Kasema wasitengeneze hela kwa kudhalilisha wanawake.
Waziri kataka mamlaka husika kulifuatilia hili na kutafuta njia ya kutatua.
Nawashangaa kweli,na ukiigiza kama jambazi kwenye movie utakamatwa kama ni that serious?Uelewa wa wengi wa viongozi wetu ni wa mashaka sana.Hivi hawa wabunge wanaelewa maana ya sanaa na usanii?! Sidhani, kama wangekua wanaelewa wasingesema kuna udhalilishaji!!