Wabunge waishupalia JF

Wabunge waishupalia JF

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Swali la mama Lwakatare kwamba JF anatoa maneno ya uongo na uchochezi...................

Source; TBC1 Bunge live
 
eti wanataka wamjue mmiliki wake,anawahusu nini,ila nashukuru hoja yenyewe haijashobokewa kiviile
 
Kumbe mama Lwakatale huwa anapita hapa safi sana ..msg send
 
Tunashukuru mungu km hata yeye ni msomaji,
Siku zote anaenjoy mpaka aliposoma la kumkwaza,
Tunamkaribisha siku moja ajiunge!
 
Hawa viongozi wa dini wanaoingia kwenye siasa huwa wana wa confuse sana wafuasi wao.

KUna mtu unakuta anampenda sana huyo mama kiimani anasali hapo kwake lakini bahati mbaya sio mwana CCM ni Chadema mfukurukutwa dah! sasa hapo sijui inakuwaje.
 
Unakumbuka ile ya Kakobe kusema Mrema ndio chaguo la Mungu mwaka 2005 na akawataka wafuasi wake wampigie kura Mrema?
 
kumbe wakubwa huwa wanapita humu eeh bora msg sent!!!!!!!!!!
 
Hata kwa dawa jf viva 4reva mwanzo mwsho hadi kieleweke!
 
Ukweli ni kwamba karibu viongozi wote wenye akili timamu wako humu ndani asiyekuwemo ni yule asiye na akili tyimamu tu maana kama we ni mwanasiasa makini lazima ujue nini kinajenga ama kubomoa mwanasiasa
 
Hawa viongozi wa dini wanaoingia kwenye siasa huwa wana wa confuse sana wafuasi wao.

KUna mtu unakuta anampenda sana huyo mama kiimani anasali hapo kwake lakini bahati mbaya sio mwana CCM ni Chadema mfukurukutwa dah! sasa hapo sijui inakuwaje.

hapo ndo utata, hivi hapgagi kampeni kanisani kweli?
 
Sasa ukiona hivi ujue hata wale akina BBC(born before Computer) wameanza kuzinduka.
 
Kumbe mama Lwakatale huwa anapita hapa safi sana ..msg send

Huyu mama anashilia mambo mengi mno sijui sasahivi waumeni wake wameenda likizo ama inakuwaje wakati huu yupo bungeni?
 
Ukweli ni kwamba karibu viongozi wote wenye akili timamu wako humu ndani asiyekuwemo ni yule asiye na akili tyimamu tu maana kama we ni mwanasiasa makini lazima ujue nini kinajenga ama kubomoa mwanasiasa

Mbona Jk hayupo humu inamaana nae !!
 
Back
Top Bottom