Wabunge waishupalia JF

Huyu mama mnafiki sana muongo na mzandiki, kama kweli Mungu yupo basi huyu fake pasta ndio watakuja kuwa kuni za kuwachomea wenye dhambi.
Anawarubuni watu waliokata tamaa na maisha kwa kuwa haidi maisha bora kama "wata mtolea Bwana" kwa nguvu zao zote kitendo kinacho wafanya wazidi kuwa masikini wa kutupwa huku yeye akiwakwangua visent vyao na kuongeza idadi ya miradi yake ya mashule, shame on her
 
Unakumbuka ile ya Kakobe kusema Mrema ndio chaguo la Mungu mwaka 2005 na akawataka wafuasi wake wampigie kura Mrema?

Tulisomaga hayo kwenye magazeti...
Sijui kama kuna member wa JF aliyewahi kuhudhuria mkutano wa Mrema kipindi hicho na kumnukuu Kakobe na maneno kuwa kuna chaguo la Mungu.. Nalo ni Mrema..
Ama ni matumizi ya lugha,yenye tafsiri tofauti tofauti aliyoitumia Kakobe.. Hili jibu lake analo ye mwenyewe...
NWY,tuendelee na mjadala..
 
Humu viongozi mbona tupo wengi ? Na haitaleta tija tutakaposema tujitambushe !
Tutapoteza utamu specific uliopo Jf !.
Kwa mf. Mimi siku ikitokea sababu ya kujitambulisha so far nitajitambulisha kwa ID nyingine ambayo haitokua na relation na hii.
 
JF hoyee....hoyeeee.....wanachama safii...safiiiiiiiiii, ok basi basi....inatosha...baada ya kusema hayo basi tuwe makini wasije kutufanyia kama walichofanyiwa megauploads.
 
Jf ipo juuuuuu
im so proud
to be one of members
here!
Safi sana na mkuu
wa pale magogoni
ataamka asome humu
ndo ajue kuna vichwa
by the way huyu
drag dealer alikuwa
anataka kumjua mmiliki ili?
Aende zake huko
 
Ukweli ni kwamba karibu viongozi wote wenye akili timamu wako humu ndani asiyekuwemo ni yule asiye na akili tyimamu tu maana kama we ni mwanasiasa makini lazima ujue nini kinajenga ama kubomoa mwanasiasa
Kwa hiyo hata Mtoto wa mkulima atakuwa yumo huku siyo.. Nataka nim- PM.
 
Tunashukuru mungu km hata yeye ni msomaji,
Siku zote anaenjoy mpaka aliposoma la kumkwaza,
Tunamkaribisha siku moja ajiunge!

ni memba ila atakuwa aliingia jukwaa la dini akakwazika ndo maana hana jipya huyo...
 
Kwani wakimjua mmiliki atawasaidia nini zaidi ya kutaka kumuandama ili makali ya mtandao huu yapungue hasa kwa kumshawishi kuweka sheria kali juu ya uanzishaji wa thread na kuzifutilia mbali zile zote ambazo no motomoto na zimekaa vibaya kwa upande wa serikali na CCM kwa ujumla.
 
Tulisomaga hayo kwenye magazeti...
Sijui kama kuna member wa JF aliyewahi kuhudhuria mkutano wa Mrema kipindi hicho na kumnukuu Kakobe na maneno kuwa kuna chaguo la Mungu.. Nalo ni Mrema..
Ama ni matumizi ya lugha,yenye tafsiri tofauti tofauti aliyoitumia Kakobe.. Hili jibu lake analo ye mwenyewe...
NWY,tuendelee na mjadala..
Mimi sikuwahi kwenda lakini nilishuhudia mjadala wa baadhi ya waumini wake akiwemo mama yangu mdogo kuhusu hilo kwakuwa lilianzia huko kanisani kwao. Then siku alipopanda jukwaani pale urafiki tulionyeshwa kwenye tv aliposema maneno hayo
 
WATAKOMA, kwani mmiliki ndo anatoa maoni?? Sisi ndo wananchi bana, tutasema mwanzo mwisho.....!!
Kinachowashinda ni kwamba jf haikuwa registered tz na hizo sheria zao za hovyo. Sijui kwanini politicians wa hapa kwetu hawapendi watu wawacriticise! Mi huwa nafikiri ukichukua hizo criticism ukazifanyia kazi zinaweza kukujenga zaidi badala ya kuchukia na kuziacha
 
Kinachowashinda ni kwamba jf haikuwa registered tz na hizo sheria zao za hovyo. Sijui kwanini politicians wa hapa kwetu hawapendi watu wawacriticise! Mi huwa nafikiri ukichukua hizo criticism ukazifanyia kazi zinaweza kukujenga zaidi badala ya kuchukia na kuziacha

Wala usijiulize sana yan, tunaongoza na wehu, mazombi, drug dealers, na mabaya yote ni yao! wanajisumbua tu na tutawacritisize milele thou hata hawabadiliki sijui ikoje jaman! mh.
 
Huyo mmama msimwandame bure, mida anafuka upupu wake huo alikuwa amepungukiwa na akili mbili ati.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom