Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

We nani pumbavu unajua hamna akili mnaweka vinyongo na watanzania wenzenu ni aibu hapo hamna msomi hata mmoja wote chenga
 
Huyo wa 3 hata sasa hivi ukifanyika uchaguzi wa marudio hashindi

Mnyika ana I hakim at wa kurudi, ila agombee kwa ticket ya CCM, huko aliko siko ingawa hajawahi niangusha kutetea yule fisadi
 
Kupona atapona ikiwa ni mapenzi ya Mungu. Ila Kama anaakili ataachana na siasa ikiwa atashupaza shingo basi atagombea Tena na kuambulia kipigo

Mdomo wake ule yule atarudia bora awe kam slaa slaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
We nani pumbavu unajua hamna akili mnaweka vinyongo na watanzania wenzenu ni aibu hapo hamna msomi hata mmoja wote chenga
Jifunze kuandika kwanza Mkuu, ndipo upost koment yako.

Koment haina hata Viakifishi. Jinga wewe.
 
Huyo wa 3 hata sasa hivi ukifanyika uchaguzi wa marudio hashindi

Mnyika ana I hakim at wa kurudi, ila agombee kwa ticket ya CCM, huko aliko siko ingawa hajawahi niangusha kutetea yule fisadi
Mnyika ndio kabisa. Hata aende CCM hatashinda trust me
 
Mdomo wake ule yule atarudia bora awe kam slaa slaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ngoja utaona.

Nilimsikia akisema kwa kumaanisha kuwa amejifunza mambo mengi. Hiyo ilinipa tafsiri muhimu kuelekea 2020
 
Habarini wakuu.

Wafuatao ni baadhi ya wabunge wa Upinzani watakao bahatika kuibuka kidedea kurudi Bungeni;-

1. Mhe. Sugu
2. Mbowe
3. Profesa Jay.

Hao wengine Watafute kazi ingine.
Aisee kweli bado kuna umuhimu wa kukazania vijana wetu waende shule , otherwise hill taifa linateketea maana ujinga umetamalaki mpaka kwenye makalio yenu
 
Endelea kufikiri hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom