Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Sijui itakuwaje. Lakini Upinzani wanachakujifunza.

Kosa kubwa la kiufundi lilikuwa ni kumchukua Lowasa.

Kwa kweli pale niliwaona CHADEMA hawajui kupanga Mikakati ya ushindi endelevu. Walitaka ushindi wa muda Mfupi wakasahau kuwa ushindi ni jambo la kuendelea. Sasa kitakachotokea 2020 itakuwa aibu.

Mbowe si hana akili anafikiriag tu maslahi haangalii mbele hiv lowasa alikuwa wakumkaribisha af wakamsimamisha kugombea kit cha urais na yule alokuwa mgombea mwenza haji duni yupo wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wanasiasa ni komedi ila hawajijui tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
COMMENT CHOKONOZI:
Mbunge wa jimbo la ubungo ndugu KUBENEA lazima nae atarudi mjengoni.
 
Mbowe si hana akili anafikiriag tu maslahi haangalii mbele hiv lowasa alikuwa wakumkaribisha af wakamsimamisha kugombea kit cha urais na yule alokuwa mgombea mwenza haji duni yupo wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wanasiasa ni komedi ila hawajijui tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kuna baadhi ya vijana Wasomi humu lakini hawajui kuzifungua akili zao.

Wao kutwa kushabikia mambo pasi na kufikiri. Hivi Msomi wa Shahada anaweza kweli kudhani kuwa Lowasa angekompiti na Magufuli na kushinda.

Hao hao Wasomi wapo wanaoamini kuwa Lowasa alishinda. Ni upuuzi Sana kwa Hawa vijana Wasomi
 
Back
Top Bottom