Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Sijui itakuwaje. Lakini Upinzani wanachakujifunza.

Kosa kubwa la kiufundi lilikuwa ni kumchukua Lowasa.

Kwa kweli pale niliwaona CHADEMA hawajui kupanga Mikakati ya ushindi endelevu. Walitaka ushindi wa muda Mfupi wakasahau kuwa ushindi ni jambo la kuendelea. Sasa kitakachotokea 2020 itakuwa aibu.
Nakubaliana kuwa lilikuwa kosa kubwa kwa chadema kumchukuwa lowasa
Lilikuws kosa kubwa zaidi kumpa nafasi ya kugombea urais
Kinacho wa attenuate chadema kwa sasa ni zaidi ya makosa hayo mawili hapo juu
Tatizo ni ukosefu wa uwanja sawazifu kwa vyama vyote kufanya siasa zao.
Kwa nini lowasa alikuwa anaendelea kushinda akiwa ccm?(jibu langu ni kuwa majority of voters are not serious on things that matter)
Binafsi si kuwa namkubali Lowasa kwani kwangu ni mtuhumiwa, lkn amini nakwambia huyo mtuhumiwa akiachwa afanye siasa kwa uhuru kama wa CCM nakwambia hatokamatika! Wa Tz ndo wale wale.
 
Trust me Magu harudi Ikulu 2020 kupitia sanduku la kura,Ila anaweza kurudi kupitia magari ya washawasha,vifaru vya jeshi bila kusahau pyu pyu pyu!!!
 
Trust me Magu harudi Ikulu 2020 kupitia sanduku la kura,Ila anaweza kurudi kupitia magari ya washawasha,vifaru vya jeshi bila kusahau pyu pyu pyu!!!
Acha hizo! magu atawaburuza wapinzani asubui kweupee kabla jua halijatua!

Nimeshuhudia uchaguz wa CCM mkoa wa mara utakaoisha kesho,,

Ccm wana hazina kubwa sana vijijini kitu ambacho upinzani hawana!

Hakuna polisi wala mtutu, masanduku ya kura yataamua
 
Nakubaliana kuwa lilikuwa kosa kubwa kwa chadema kumchukuwa lowasa
Lilikuws kosa kubwa zaidi kumpa nafasi ya kugombea urais
Kinacho wa attenuate chadema kwa sasa ni zaidi ya makosa hayo mawili hapo juu
Tatizo ni ukosefu wa uwanja sawazifu kwa vyama vyote kufanya siasa zao.
Kwa nini lowasa alikuwa anaendelea kushinda akiwa ccm?(jibu langu ni kuwa majority of voters are not serious on things that matter)
Binafsi si kuwa namkubali Lowasa kwani kwangu ni mtuhumiwa, lkn amini nakwambia huyo mtuhumiwa akiachwa afanye siasa kwa uhuru kama wa CCM nakwambia hatokamatika! Wa Tz ndo wale wale.
Ikiwa alishindwa kufanya Kampeni siku zile ambapo ndio ulikuwa muda wa Kampeni na akashindwa. Aliishia kuongea dakika tano huku wakati mwingine akishindwa kabisa. Hana sababu ya kuachiwa kwa Sasa.

Alishindwa kuitumia nafasi. Licha ya Skendo alizokuwa nazo
 
Habarini wakuu.

Wafuatao ni baadhi ya wabunge wa Upinzani watakao bahatika kuibuka kidedea kurudi Bungeni;-

1. Mhe. Sugu
2. Mbowe
3. Profesa Jay.

Hao wengine Watafute kazi ingine.
Hakuna atakaye rudi maana box la kura sio aminifu tena upinzani utulie tu. Usipelekw mgombea.
 
Mahakama ya mafisadi si IPO???

Ushahidi si upo?

Nini kinasubiriwa kumburuta mbele za vyombo vya kisheria ??
Hujanielewa, vijana waliambiwa na viongozi wao kua mzee ni mwizi na kua ushahidi upo halafu ghafla hao viongozi wakampa huyo mtuhumiwa wao nafasi ya kukiwakilisha chama. Kwa hiyo serikali ikiwa dhalimu kuacha kuwaburuta ktk mahakama waovu basi wapinzani wanaweza kuwakilishwa na hao waovu? Huoni namna hii ni kuwachanganya baadhi ya vijana?
 
Ikiwa alishindwa kufanya Kampeni siku zile ambapo ndio ulikuwa muda wa Kampeni na akashindwa. Aliishia kuongea dakika tano huku wakati mwingine akishindwa kabisa. Hana sababu ya kuachiwa kwa Sasa.

Alishindwa kuitumia nafasi. Licha ya Skendo alizokuwa nazo
Scandals bado zipo hazikuwahi kujibiwa zaidi ya kubadilika kwa kundi linalo mtuhumu.
Kumwondoa na kumwacha ni juu yao chadema
Kushindwa kuongea kipindi hicho si warrant ya kumnyima uhuru wa kufanya siasa kama walionao CCM
 
Back
Top Bottom