Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Hivi hii inaukweli wowote kuwa Wazuri mkuu wa ccm mh. Majaliwa anamuogopa Mkuu wa mkoa wa mafyovers?
Kwakuwa ndio unayechagua ngoja tukuamini maana unalazimisha sana usije jinyonga mzee sawa utampitishaSugu anatarudi tuu amini usiamini.
Naongea kilichopo na uhalisia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] frying to KIA ana niacha hoi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mbowe atarudi kwa kazi maalum. Bado hajamaliza kazi yake
Si mchezoChadema wamsimamishe KINGUNGE yy ndiye aliyekuwa engineer wa ushindi wa CCM.
Lema hawezi kurudi kabisaLema pia Arusha mjin atarudi.....
Hao labda washindwe na wenzao ndani ya chamaWA UPANDE WA PILI NI AKINA NANI HAWATARUDI?
Ilikuwa enzi ya Kikwete Mkuu.Ramli kama hii aliwahi kuipiga Wassira aka Tyson kilichompata mpaka leo haamini! Matokeo yake ni kuzunguka kwenye korido za mahakama zote Tanzania sasa anataka kwenda The Hague!
Aliyekuambia Mimi ni CCM ni nani?KWANINI WANAOSIKITIKA NA KUDAI KUWA CHADEMA INAKUFA NI WANACCM? KWA NINI MSIFURAHI KWA KUWA MTABAKI PEKE YENU, AU MNAOGOPA MKISHAWAMALIZA CHADEMA MTAANZA KUMALIZANA WENYEWE KWA WENYEWE
Siwezi jinyonga Mkuu.Kwakuwa ndio unayechagua ngoja tukuamini maana unalazimisha sana usije jinyonga mzee sawa utampitisha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] frying to KIA ana niacha hoi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tena wengine kwa mpango maalum tuu.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]watatu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]