Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Wabunge wa Upinzani watakaorudi Bungeni

Kwa fikra finyu zisizo na afya kama hizi Tanzania ya viwanda itaishia kuwa ngonjera tu za wanasiasa uchwara wataka sifa kwenye majukwaa ya kisiasa, maana haya ndio mawazo ya watawala yaliyojaa mioyoni mwao kuanzia Magufuli (mwenyekiti ccm) hadi vidampa wa chini kabisa
Pole Sana Mkuu. Jiandae kisaikolojia
 
Kwa fikra finyu zisizo na afya kama hizi Tanzania ya viwanda itaishia kuwa ngonjera tu za wanasiasa uchwara wataka sifa kwenye majukwaa ya kisiasa, maana haya ndio mawazo ya watawala yaliyojaa mioyoni mwao kuanzia Magufuli (mwenyekiti ccm) hadi vidampa wa chini kabisa
Kama vita ya ufisadi ilivyoishia kuwa ngonjera kwa chadema
 
Upinzani ulizingua Sana kumchukua Lowasa na kumpa tiketi ya uraisi.

Ilikuwa zero brain kwakweli. Mtu mwenye akili timamu asingeweza fanya vile
 
Sijui itakuwaje. Lakini Upinzani wanachakujifunza.

Kosa kubwa la kiufundi lilikuwa ni kumchukua Lowasa.

Kwa kweli pale niliwaona CHADEMA hawajui kupanga Mikakati ya ushindi endelevu. Walitaka ushindi wa muda Mfupi wakasahau kuwa ushindi ni jambo la kuendelea. Sasa kitakachotokea 2020 itakuwa aibu.
Nakubaliana nawe lakini pitia kumbukumbu.CDM walishatumia consultancy wa kutoka nje na wakaarifiwa ya kuwa kwa kumsimamisha Slaa na CCM bado wangeshindwa.Kwa hivyo kushindwa ilikuwa obvious lakini kwa kupata mtu kutoka CCM waliweza kuzigawa kura za CCM.
Cha kuwalaumu ni jinsi wanavyoitumia ruzuku iliyokuja na EL.Wangejenga hata nyumba ya floor mbili kama makao makuu yao.
 
Huoni walijaribu kushinda kwao mwaka 2015 jambo ambalo limegeuka kushindwa kwao 2020
 
Kwa sasa hakuna siasa Tanzania na binafsi sitapoteza muda wangu kupiga kura ya serikali za mitaa wala uchaguzi wa 2020.Napambana na hali yangu!!
Huoni hyo ni kuvuja kwa pakacha mkuu
 
Back
Top Bottom