Wabunge wa upinzani wasijione 'supermen'

We ni mpumbavu sana.........hv never seen before.....mungu akusaidie sana.
mkuu umenena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

leo hii jnne, wabunge wa chdm wametoka kwenye mstari. wamekua wakichangia mambo yasiyo eleweka
 
Mtoa mada ananikumbusha terminology iliyozaliwa mwaka 96 Temeke, "kihiyo", mtoa mada ni wa kundi la vihiyo.
 
Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na inakuja kuonekana mbunge wa upinzani ameongea kwa msisimko na amekulupuka.jamani wapinzani kuweni makini mrikulupuke na kuropoka tu tunawategemea sana

Unatumi pampu au mizani ya mawe kupima hilo unalolisema?some text missing
 
Back
Top Bottom