Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

Huyo Kibonde ni kada wa CCM,wewe hujui hilo anapenda kujipendekeza kwa CCM,ili labda apewe ukuu wa wilaya kama wenzake,pia ana kasumba ya kupenda sifa zisizo na msingi na sifa yake kuu zaidi ni much know,kila kitu anajua.Siku hizi nimepoteza mvuto kabisa kusikiliza hiyo clouds yao hasa kipindi cha Jahazi,nakumbuka kipindi kile cha nyumba kipindi kikiongozwa na Gadna,kilikuwa poa ila sasa,kipindi kizima kimejaa mipasho na sifa za kijinga!!!!

Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
 
Kibonde kakurupuka kifupi kapanik labda kaahidiwa udiwani ila kwa hili ilibidi tuungane dharula inatoka wapi jamn
 
Siku zote jina husadifu mtu alivyo. Huwezi kumuita mwanao kibonde halafu utegemee akili ifanye kazi vizuri.
 
Kama kuna mtu ambaye huwa simuelewi ni Kibonde.Nadhani his name suggests something,kwa kuwa mara nyingi naona anatumiwa kama dodoki.Kwamba sasa kasema haoni sababu kwa nini wabunge wa Ukawa na Zanzibar wametoka bungeni, proves my suspicion to be correct.He is not a particularly intelligent guy.
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..

Huyo MC wa Lowassa Hana lolote!! his gray matter content is unproportional to his body mass, ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, halijitambui na wala muswada husika halijausoma na kuuelewa!
 
Dawa ya huyu jamaa ni antivirus ya kina Sugu. Kuna mstari "Kibon** anasambaza ngoma mtaani"
 
acha cheap arguments!!
unajidhalilisha

Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,

Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze

Kanye kwanza mkuu
 
Wanajamvi tusitoe maneno makali ya kumshambulia mtu kama kibonde hana madhara yoyote huyu bali tumshauli atoke huko kwenye mawazo mgando! Aje kwe fikra mpya za ukombozi wa mara ya pili wa taifa letu!
 
Huyu HIV au VVU itakuwa imepanda kichwani aende akamuone Dr.

Michepuko sio dili LoL!
 
Back
Top Bottom