Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Hiv mchange unagombea unapata kura 3000 bado unapata ujasiri wa kuandika chochote .....

Yaani umesema nilichotaka kukisema ha ha ha. Hivi na yule Chiku Ambwao tuliyeambiwa atamwangusha Msingwa alipata kura ngapi?
 
Mtu ukiwa ACT unakuwa kama kichaa kiakili.
Sasa hawa ni wabunge wamechaguliwa ulitaka wasisaini kama wataudhuria Bunge?
Jinga kabisa.
 
Huyu ndugu akatubu kwanza dhambi ya kutukana Waliomzidi umri hadharani...kuendelea kumjibu ni kumpa ujiko ona hata majibu anayotoa hayalingani na nafasi alokuwa anagombea.
 
Ina maana hata wale wa Zanzibar wakiingia bungeni ndo wata kuwa wamemkubali dr shen. Bungeni hawafanyi kazi ya rais wanafanya kazi ya wananchi walio wachagua
 
Dah tunasafari ndefu hivi Act wamepata viti vingapi bungeni na viti maalum. kura 3000 lazima zimchanganye ashindwe kujua kama mbunge haapi kwa jina la rais
 
Mkuu stuna wabunge wa Ukawa wataenda bungeni kama kawaida ila kumbuka pombe atafanya kazi chini ya ukawa.Maana Ag wetu bado anapwaya kwa team Ukawa
 
Huitambui serikali halafu serikali hiyohiyo inakupa posho unaichukua then unasema sio hisani ila ni haki yako kwani ni pesa za wananchi,, swali sasa hiyo serikali imechaguliwa na nani?? Kama unaamini serikali ni haramu maana kila kitokanacho na hiyo serikali ni haramu tu!!!
Tuache unafiki
Hoja yenu ni ya kishabiki sana, kuna mahali CCM wamekata rufani kupinga chaguzi za Ubunge na Udiwani, lakini CCM hao hao wanazikubali kura zilizompa magufuli ushindi toka kwenye Kata hizo hizo na majimbo hayo hayo wanayosema kuwa wabunge wa Upinzani wameshinda kiharamu. CCM ni wanafiki?
 
Hoja yenu ni ya kishabiki sana, kuna mahali CCM wamekata rufani kupinga chaguzi za Ubunge na Udiwani, lakini CCM hao hao wanazikubali kura zilizompa magufuli ushindi toka kwenye Kata hizo hizo na majimbo hayo hayo wanayosema kuwa wabunge wa Upinzani wameshinda kiharamu. CCM ni wanafiki?

Hoja yako sawa lakini kumbuka mtu anaweza mbunge wa ukawa kura na kura ya rais akampa wa ccm pia ya udiwani akampa Ads kuna wegine wanachagua mtu sio chama
 
Nini maana ya kutokumtambua JPM na serikali yake? Na je Bunge sio sehemu ya serikali?
Ndiyo maana tunasema tatizo la nchi yetu ni Elimu. Bunge ni tawi la Serikali lakini si sehemu ya Utawala wa Serikali, kwa lugha ya kuazima wanasema Government = Executive +Judiciary + Parliament. Hakuna aliye juu ya mwenzake wala kuingiliana labda chama kinachotawala kiwe CCM kinachofuata mfumo wa chama Dola (A state Party).
 
Kuto kuhudhulia kuapishwa kwa Jpm wamevunja kifungu gani cha katiba ya JMT? bungeni wataenda ndo walipo agizwa kwenda cyo kwenda kwenye sherehe ya kaapishwa kwa mtu ambae wanajua hawakumpigia kura.
 
Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudhuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Rais Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg

Hivi hii ni ratiba gani?
https://www.scribd.com/document_dow...source=embed&uahk=LaNE/TbM8T/oW64NU1pxKYrwkY0
 
sipat picha wachagga humu ndani povu lilivyowatoka kubeza act kama ingekua zitto ndio kafanya hayo ya kususa na kuvuta mkwan ja sijui wangemshambulia kias gan
 
Mechi za ccm kirumba ndio zinaendesha serekali
 
Mmh kwa vile wamesusa,hawakubaliani na kauli za masanduku ya kura zilizompa ushindi mheshimiwa rais,sidhani kama na bungeni watakwenda,maana wananchi waliowachagua kwa nafasi ya ubunge ni hao hao kila mtu alipoingia ktk chumba cha siri cha kupigia kura aliweka utashi wake kuwa nafasi ya urais fulani anafaa kuliko huyu na kuliko yule,so stay tuned!
 
Ndiyo maana tunasema tatizo la nchi yetu ni Elimu. Bunge ni tawi la Serikali lakini si sehemu ya Utawala wa Serikali, kwa lugha ya kuazima wanasema Government = Executive +Judiciary + Parliament. Hakuna aliye juu ya mwenzake wala kuingiliana labda chama kinachotawala kiwe CCM kinachofuata mfumo wa chama Dola (A state Party).


Ninyi ni watu wa ajabu sana na mambo mnayoyafanya ni ya kipekee Dunia hii na ndio maana hakuna hata mtu yoyote Dunia anawasikliza kwenye malalamiko yenu kwa maana hamna akili kabisa!

Hivi unawezaje kumueleza Mtu wa nje kwamba hamumkubali Raisi wa nchi kwa kuwa unaamini kwamba Tume iliyopewa mamlaka ya kusimamia Uchaguzi imeiba kura lkn unakubali matokeo ya Ubunge ambayo yanasimamiwa na Tume hiyo hiyo ambayo unasema imeiba kura za Raisi, hivi unawezaje kujenga hoja kama hii na mtu akakuelewa?

Kama unasema Uchaguzi wa Uraisi haukuwa wa haki kwa kuwa kura ziliibiwa na Tume ya Uchaguzi ina maana Uchaguzi wote unapaswa kuwa batili na haupaswi kuchagua matokeo pale uliposhinda unasema ulikuwa wa haki na pale uliposhindwa unasema umeibiwa, Dunia haiendi hivyo, wenzenu huwa wanagomea kila kitu kwa 100% kwa maana Tume ni ile ile, kwa akili kama hizi madaraka TanZania mtasahau na hakuna mtu anayeweza kuwasadia nje ya TanZania kwa maana hata wazungu mkiwaelezea hivi watawaona wa ajabu na hamna akili!
 
Wakitaka bunge liende sawa siku wasipoenda no allowance hata wale wa CCM.
Watabaki kuwa watii tuu hasa siku ya ufunguzi maana najua watatoka nje kama kawa.
 
Waache wasaini wachukue haki yao,au wewe inakuuma?Na kama haziwatoshi tupo tayari kuchanga tuwaongezee mashujaa wetu.Una uzi mwingine tuujibu?
 
Barbarosa hiyo Posho hawalipwi kama hisani bali ni stahili yao inayotokana na wao kuchaguliwa na wananchi, pia Magufuli hana hiyari ya kuwalipa au kutokuwalipa kwani hata yeye hizo pesa hazitokani na kuuza Mifugo ya Familia yao bali zinatokana na Kodi tunazotozwa watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua Magufuli!! Na wala hizo Posho hazitokani na fedha zilizopatikana kwa kuuza kadi za CCM hivyo wabunge toka vyama vingine wakose sifa za kupewa!!

Kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa kwa Magufuli hakuko Kikatiba bali hizo posho zinatokana na sheria zilizotungwa kwa kufuatisha Katiba iliyopo inayoshabikiwa na CCM hata kama ni Hovyo kabisa!! Kuna ujinga miongoni mwetu kuona kama serikali inafanya mambo kwa hisani jambo ambalo si sahihi.
Hao si ndio walisemahawana imani na uchaguzi unaosimamiwa na NEC,mi nadhani ukishasema huna imani basi la muhimu wangejitoa hizo nafasi ya ubunge kama huna imani basi isiwe nusunusu ,uchaguzi wa raisi wanadai hawana imani na NEC lakini wa ubunge wana imani na NEC,kisa wao wamekuwa wabunge,huo ni undamila kuwili,na hicho ndicho tunachoona Ukawa ni matapeli wa kisiasa,namhurumia waziri mkuu aliyejiuzuru,sasa ndio aone hao watu alio waamini kufanya nao mabadiliko,wao wamemuacha solemba na kukimbilia mjengoni,kama kususa ususe moja kwa moja na si nusu nusu,hata uraisi ni kwa wote si wana CCM tundio maana tunawashangaa ''kususa''uwanja wa Uhuru''na lakini mjengoni mbio mbio hizo hela pamoja kuwa ni za wananchi serikali ndio hukusanya chini ya raisi mayejifanya kususa.
 
Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudhuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Rais Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg

CCM tunashindwa kuelewa munakuwa na akili gani mukishakuwa kwenye hicho chama chenu lile bunge pale Dodoma sio bunge la CCM ni bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tz,

Wabunge na kila mbunge anaeingia pale ndani amewakilishwa na wananchi wa jimbo alilochaguliwa aidha Tanganyika au Zanzibar.

Sasa munaposema baniani mbaya kiatu chake dawa manakae ni kwamba wabunge wa UKAWA kuingia pale bungeni ni kama vile wanalipwa fadhila kutoka kwa JPM. it is wrong. si dhani kama jambo hili pia linahitaji elimu au ndio ukishakuwa ccm ndo basi tena mashetani yashakukumba?

Nadhan siku 1 mutakuja kutuambia UKAWA na upinzani tunaishi katika ardhi ya ccm Tanzania ili tuhame mubaki peke yenu. huu ni ujinga
 
Back
Top Bottom