Wabunge wa UKAWA, bakini bungeni mlisaidie Taifa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Nawaomba kwa ujumla wenu. Najua hamuivi na Naibu Spika kwa mnavyomlalamikia. Najua kuwa mmeshatangaza kutoka kila Naibu Spika anapoliongoza Bunge na mmekuwa mkitoka kweli. Najua mna malalamiko yenye mashiko. Najua mnalilia ulinzi na ustawi wa demokrasia ndani na nje ya Bunge.

Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.

Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.

Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Vuta, utabakije bungeni na hutakiwi kusema/kusikilizwa. Unaambiwa la kusema!
 
UKAWA safari hii hawana hoja,iliobaki ni kulazimisha ugomvi na naibu spika ili watengeneze vichwa vya habari
 
Nawaomba kwa ujumla wenu. Najua hamuivi na Naibu Spika kwa mnavyomlalamikia. Najua kuwa mmeshatangaza kutoka kila Naibu Spika anapoliongoza Bunge na mmekuwa mkitoka kweli. Najua mna malalamiko yenye mashiko. Najua mnalilia ulinzi na ustawi wa demokrasia ndani na nje ya Bunge.

Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.

Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.

Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam

hahaha sio wa ulevini tena bali ni KILAZA wa Lumumba.
heshima yako mzee.
 
Hata wakibaki hiyo bajeti lazima itapitishwa kama ilivyo.

Watapoteza muda wao tu.

Bibi Kiroboto tutammiss sana.
 
Nawaomba kwa ujumla wenu. Najua hamuivi na Naibu Spika kwa mnavyomlalamikia. Najua kuwa mmeshatangaza kutoka kila Naibu Spika anapoliongoza Bunge na mmekuwa mkitoka kweli. Najua mna malalamiko yenye mashiko. Najua mnalilia ulinzi na ustawi wa demokrasia ndani na nje ya Bunge.

Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.

Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.

Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
Chezea posho wewe..
 
Naona mnatafuta sababu ya kulamba matapishi yenu kama mlivyofanya kwa lowasa
 
Back
Top Bottom