Wabunge wa UKAWA, bakini bungeni mlisaidie Taifa

Tehetehetehetehe. Upinzani wamekuwa kama mataahira vile. Wamesahau jana wamesema nini
Wale waliokuwa wanalilia kutokatwa kodi kwenye kiinua mgongo unawaweka kundi gani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi kama mwananchi wa kipato cha chini nikiwakilisha wananchi wa kipato cha chini kwa kifupi maskini ambao ndio tuliowachagua Tuwaomba Mkae mtafakari kisha mrudi Bungeni Kututetea Hasa Katika bajeti hii iliyosomwa .

Tunawaomba Muondoe tofauti zenu na NS Dr Tulia Mfanye Kazi .
 
pole kwa kupoteza KURA YAKO! genge hili halipo kwa maslahi mapana ya watanzania wote.... tafakari na chukua hatua...TOROKA UJE bado haujachelewa
 
Hivo CCM ndio wenye maslahi ya wanyonge?.
 
pole kwa kupoteza KURA YAKO! genge hili halipo kwa maslahi mapana ya watanzania wote.... tafakari na chukua hatua...TOROKA UJE bado haujachelewa
genge lipi kijana?. embu jaribu kujikomboa kutoka kwenye utumwa wa akili
 
kaka usiwe na wasiwasi wiki ijayo watarudi kutetea posho yao
 
matusi yako wapi bhana mzee. nimejaribu kukuuliza tu
KAKA watumwa wa akili si wanajulikana! tukianza kuwachambua na kuwaainisha kwa ushaidi lukuki...matusi huanza kumiminika ...na katika topic zote mod wameeonekana kuugemea upande fulani...so kwa sasa kila mnapoanza kutoa kauli tata tumejifunza kuwapuuza au kuweka wazi ili mod waone aibu
 
mkuu mod wanafanya kazi yao bila upendeleo. huwa naona wanaachia mijadala na hoja za wajumbe kwa uhuru kabisa
 
Hawana hoja?kivipi?
Bunge live nayo ni hoja ya kupotezea muda watu?
Kuna hoja zilitikisa serikali bila hata kuwa na live tv
Ukawa wanachofanya ni sarakasi tu na maigizo,kila hoja waliiona itawatoa ilikufa,wakaamua wafe na naibu spika
 
Back
Top Bottom