fred madowo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 236
- 83
Hyo bajeti imekaa vizuri kwani hata wasiporudi hawana faida
posho isingekatwa tusingeyaona haya maandishi humu. njaa mbaya sana, asikuambie mtu. haya rudini mkaendelee kusign posho.Nawaomba kwa ujumla wenu. Najua hamuivi na Naibu Spika kwa mnavyomlalamikia. Najua kuwa mmeshatangaza kutoka kila Naibu Spika anapoliongoza Bunge na mmekuwa mkitoka kweli. Najua mna malalamiko yenye mashiko. Najua mnalilia ulinzi na ustawi wa demokrasia ndani na nje ya Bunge.
Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.
Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.
Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!
Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
Wananchi tunawakubali ukawa ila sema tu kua, wananymwa Uhuru wa kuongea hungeniUKAWA safari hii hawana hoja,iliobaki ni kulazimisha ugomvi na naibu spika ili watengeneze vichwa vya habari
Wewe hulioni tatizo hapo? wanaotengeneza vichwa vya habari nao ni akina Jesca kwani?UKAWA safari hii hawana hoja,iliobaki ni kulazimisha ugomvi na naibu spika ili watengeneze vichwa vya habari
IQ 17%.UKAWA safari hii hawana hoja,iliobaki ni kulazimisha ugomvi na naibu spika ili watengeneze vichwa vya habari
mumeona kukata posho ndo kuwarejesha bungeni, wacha warudi kwenye mabunge yao wakawatumikie wananchi wao, endeleeni na bunge lenuNawaomba kwa ujumla wenu. Najua hamuivi na Naibu Spika kwa mnavyomlalamikia. Najua kuwa mmeshatangaza kutoka kila Naibu Spika anapoliongoza Bunge na mmekuwa mkitoka kweli. Najua mna malalamiko yenye mashiko. Najua mnalilia ulinzi na ustawi wa demokrasia ndani na nje ya Bunge.
Kesho,mjadala wa Bajeti utaanza. Naamini,wakosoaji ndiyo wafuatiliaji na wasomaji. Wasomaji wa nyaraka kwa haraka na baraka Bungeni ni Wabunge wa Upinzani. Ni Wabunge wa UKAWA. Wabunge wa CCM hupumbazwa na uchama na wingi wao.
Msipokuwepo kesho na kuendelea,Wabunge wa CCM hawataijadili Bajeti. Wataisifu;kuisifu Serikali; kumsifu Rais na Naibu Spika na kuiunga mkono bajeti kwa asilimia mia. Bajeti itakosa kuchambuliwa na kukosolewa. Bajeti ni moyo wa nchi. Isipowekwa sawa,wote tutaumia.
Tafadhalini,Wabunge wa UKAWA bakini Bungeni muifinyange bajeti ya nchi. Fanyeni hivyo kwa kulisaidia Taifa. Msijali yatakayosemwa kuhusu kubaki kwenu Bungeni!
Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
Hoja wanayo, pengine mwelekeo waliochukua unaweza usiwe sahihi sana.UKAWA safari hii hawana hoja,iliobaki ni kulazimisha ugomvi na naibu spika ili watengeneze vichwa vya habari
Basi wajiuzuru ubunge kabisa tujue hatuna wawakilishi wetu tuchague wengine kama hawana mbinu nyingine kuliko kuziba nafasiHata tukibaki hakuna wa kutusikiliza ndugu, tuna nia kweli tukawatetee wananchi wetu, tatizo ni yule shost.......ni shidaaaaaa.
Teteteh tabia za kuku wa ki "zungu" by NkamiaTehetehetehetehe. Upinzani wamekuwa kama mataahira vile. Wamesahau jana wamesema nini
Mambo yatabadilika. Naibu Spika atawekwa sawa
Mzee Tupatupa
Waende wakaboreshe mkuu
Mzee Tupatupa
Mkuu,wanaCCM wote nawajua kwa majina,sura na jinsia zao. ID nyingi wanazotumia nimetengeneza mimi.
Mzee Tupatupa
Haifiki huko. Ni chini ya 5%.IQ 17%.
Ha ha ha nadhani hiyo ni ya kumsaidia kujua akifika chooni afanyeje tuHaifiki huko. Ni chini ya 5%.
IQ 3%IQ 17%.
Hyo bajeti imekaa vizuri kwani hata wasiporudi hawana faida
Ni nyumbu tu kama wewe anaeweza kuwakubali wasanii wa ukawaWananchi tunawakubali ukawa ila sema tu kua, wananymwa Uhuru wa kuongea hungeni
posho isingekatwa tusingeyaona haya maandishi humu. njaa mbaya sana, asikuambie mtu. haya rudini mkaendelee kusign posho.