Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

Kazi nzuri!mbona huku Tanga hamji?naona nguvu ya chadema huku kwa wasambaa,wabondei,wazigua,wadigo nk ipo chini sana.jitahidini mfike huku kwan wananchi wenge bdo hawajahamasika na hiki chama cha ukombozi tanzania

Kuna baadhi ya mikoa CDM hawafiki .. wakishindwa kwenye uchaguzi wanalalamika kura zimeibiwa..!
 
Kila la kheri katika kazi kubwa na ngumu ya kuwaamusha na kuwaelimisha watu kama walimu wa mji wa singida ambao bwana mdogo Dewji aliwanunua kwa dharau na kwa bei ndogo ya TZS 50,000.00. Mnatenda jambo zuri sana la kuwafanya watu waamuke na kujua haki zao na kuzidai
 

Hapo kwenye RED sijui kwanin Regia Mtema anakuwa mgumu kuelewa.
Serikali ya CCM imeshaanza iko mbioni kuleta maji, michakato na mipango ya utekelezaji wa kuleta maji Singida ilishaanza.

Mipango, michakato na harakati hizi zimeanza miaka 50 iliyopita, na kabla ya mwaka 2061(miaka 50 baadaye) Singida itakuwa na maji chini ya uongozi mzuri wa sana wa CCM. Wajukuu wa wanasingida watayafaidi. Kwa staili hii hata mimi nitawapigia kura mwaka 2015. Tatizo Regia haelewi.
 
wapeni elimu ya uraia, wapeni hamasa ya ukombbozi wa taifa lao, uhuru kamili unakaribia tanzania
 
mkuuu unaipenda sana magamba wenzio huwa hatuwapi ushauri wa hivi wakafie mbali! kama hawaelewi hawaelewi tuu!
 
...............Safi sana mamaa Regia,lazima kieleweke sasa.
 




Nyekundu: @ Arafat..Mkuu hujampata vizuri Regia aliposema Kutoka Bwawa la Singida mjini Singida! Alichokimaanisha ni location walipokuwepo, yaani mahala walipokua wanafanyia huo mkutano wao. Sasa wewe kuanza kumshambulia juu ya sera za Chadema au kurush into solutions without analysis, nafikiri wewe ndio umerush into mashambulizi dhidi yake bila proper analysis ya nini aliachokiandika!!

Kijani: @ Mtanzania Haswa..mkuu tatizo la maji ni la nchi nzima si suala la majimbo yaliyo chini ya Chadema, CCM, CUF au NCCR-Mageuzi..ni janga la kitaifa. Walichofanya wakina Regia ni kuelezea hali halisi iliyopo Singida mahala ambako walikua wana mkutano wa hadhara.
 
mkuu Regia jana uliahidi kutuwekea fotos imekuwaje??naomba mtimize mnayoahidi

Nadhani sasapicha umeziona. Mh! alikuwa anasita kwani watu walikuwa kiduchu mno kwenye hiyo kitu inayoitwa '' kutikisa singida mjini''.

Sasa ikiwa mjini watu ni kiduchu kiasi hiki kiasi cha kupelekea mpiga picha kutumia ufundi wa hali yajuu wa kutoa watu kwa karibu ilikuogopa aibu ya mwaka waliyokutana nayo licha ya publicity ya hali ya juu iliyoongozwa na mifuso ya mh! mwenyekiti.

Hivi Mh! waziri (kivuli) mbona siku hizi ukiandika posts zako chini huweki kile cheo chako. Maana ulivyoanza kupewa hiki cheo kila ukiandika kwenye JF chini yake unaandika '' Waziri kivuli, kazi na ajira'' ???!!!!
 

A typical fanatic is always firm to his team, as trying to demonstrate. CCM days in power are surely numbered.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…