Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

We regia, unataka kuniambia kote walipo wabunge wa chadema hakuna matatizo ya maji? nakwamba ni juhudi zenu ndio zimeleta maji? acheni hizo bana.

Naomba ije siku muwe chama tawala tuone kama matatizo haya tuliyonayo yataondoka just like that, ukiwa chama pinzani ni rahisi sana kumkosoa mwenzako.

Talk is cheep talk talk to much. yaondoeni matatizo jimboni kwenu tuone mfano.
 
We regia, unataka kuniambia kote walipo wabunge wa chadema hakuna matatizo ya maji? nakwamba ni juhudi zenu ndio zimeleta maji? acheni hizo bana. Naomba ije siku muwe chama tawala tuone kama matatizo haya tuliyonayo yataondoka just like that. ukiwa chama pinzani ni rahisi sana kumkosoa mwenzako. talk is cheep talk talk to much. yaondoeni matatizo jimboni kwenu tuone mfano.

I hate people who rushes into solutions without analysing the problem at particular environment!

Hili la kuona Bwawa la Singida ni jibu rahisi ya tatizo la maji kwa mji wa Singida ni ishara ya kutafuta na kifikiri majibu marahi bila kuchunguza chanzo cha tatizo kujuwa ugumu wa tatizo.
 
Hamna chochote mtakachofanya, kwa tanzania hii hampewi nafasi yoyote ya uongozi, mtaishia majungu yenu hadi kufa'
 

Regia umenichesha sana, hiyo ya Bwawa la singida ipo kwenye sera za Chadema au wewe umejisemea tu?

Mbona Dar haijachukuwa maji kutoka Bahari ya Indian maana ni mengi sana lakini bado kuna uhaba wa maji sana jijini Dar es Salaam?

Ebu muulize Mnadhimu wako kuhusu hao maji kabla ya kuyaongelea maana ni mwenyeji wa huko, maana husije ukadhani mambo ni marahisi wakati hujakabidhiwa alafu ukikabidhiwa unaanza kulia na kutoa machoa, kama Nyerere alivyosema anawaonea huruma wanaogombania kukimbia Ikulu wakidhani pana raha!

CCM ina Mpango mzuri sana wa maji ambao upo katika utekereza katika mji wa Singida na tatizo la maji linaweza kuja kuwa Historia baada ya huo mradi unaoendelea sasa.
Nyerere alikuwa anamuonea huruma kikwete, maana alikuwa na uhakika kazi ya urais haiwezi.
 
nakukubali nilipataga kuuzuria kampeni zako mngete nikakusikia,,toeni somo wazinduke
 
Mkutano umemalizika hapa Singida mjini ambapo makamanda wa CHADEMA mh. Regia, mh. Chiku na mh Lema (makamanda) wamehutubia umati wa watu uliojitokeza.

Akihutubia wananchi wa singida mjini Kamanda Lema amesisitiza kuwa wananchi wasidanganywe kwa kuambiwa CHADEMA ni chama cha wakristo kwani ni njama ya CCM kuwahadaa watazania baada ya ile ya chama cha wachaga kushindwa.

Lema ameeleza kuwa CCM wameona kuna wabunge wengi wa CHADEMA ambao si wachaga hvo kuendelea na uongo huo wataumbuka.
 
mkutano umemalizika makamanda wameondoka. Sasa kazi kwetu wanasingida mjini. Moto umewashwa hakuna wa kuuzima.
 
Kazi nzuri!mbona huku Tanga hamji?naona nguvu ya chadema huku kwa wasambaa, wabondei, wazigua, wadigo nk ipo chini sana.

Jitahidini mfike huku kwan wananchi wenge bdo hawajahamasika na hiki chama cha ukombozi tanzania
 
Inaonekana mkutano haujafanyika!walioahidi watakuwa wanaupdate hawajatimiza ahadi.Matokeo yake uzi umehama kabisa kutoka kwenye mada yake kwa majibizano yasiyo reflect huo mkutano wa singida.
 
Kazi nzuri makamanda wetu
huku Tanga mbona hamji? manake wadigo, wasambaa, wabondei, wazigua hawajapata hamasa za kutosha kutoka ktk chama hiki tawala cha 2015.

Mje huku jamani
 
Kazi njema makamanda tunawatakia kila la kheri. Singida bado iko nyuma sana inahitaji uamsho wa kueleweka.
si nyuma kama tabora, nakubaliana nawe elimu iendelee kutolewa. ukombozi wa taifa letu tanzania ndiyo kiu yetu.
 
Vizuri kupaza sauti juu ya changamoto na matatizo yanayoikumba jamii kila mnapopata nafasi ya kutembelea wananchi katika maeneo tofauti nchini.
Ushauri wangu; Msiishie kusema shida zao tu bali mtoe na suluhu ya hayo matatizo yao katika njia ambayo itaeleweka hasa kwa mwananchi wa kawaida ili atakae wabeza, wananchi watakua wameelewa ufumbuzi wa matatizo yao uko wapi.
Kwa njia hii mikutano yenu itakua na tija na faraja kwa wananchi mnaowatembelea na mtapata ushirikiano wa kutosha.
Msijikite katika kutoa lawama tu kwa watendaji wa serikali bali kuonyesha njia sahihi itakayo leta ukombozi.
Tumechoshwa na habari za ufisadi na ubadhilifu katika serikali na inavyoelekea hakuna njia ya kuwabana wahusika pindi wanapotajwa ingawa tunafarijika kwa wachache ambao hatua zimechukuliwa ingawa si za kuridhisha sana maana suala la tume nalo limekua kama sehemu ya kufichia hayo madhambi.

Ni maoni yangu tu hayo machache.
Nimevutiwa sana na maoni yako mkuu nakuunga mkono ila tungefarijika sana kama ugesema japo kwa mfano wangetoa suluhu gani kwa mawazo yako unaona yangefaa.
 
Napenda jinsi CHADEMA inavyofanyakazi yaani kama ni mashambulizi basi hata msipofunga nyie basi watjifunga....honegara sana chama changu
 
Pamoja sana ,fanyeni hivyo labda tutaweka makao hapo. Na, kama makamanda naombeni update juu ya Singida university,Singida refferal hospital na mradi wa umeme wa upepo unaosemekana kuwa na mapungufu kibao
 

Regia umenichesha sana, hiyo ya Bwawa la singida ipo kwenye sera za Chadema au wewe umejisemea tu?

Mbona Dar haijachukuwa maji kutoka Bahari ya Indian maana ni mengi sana lakini bado kuna uhaba wa maji sana jijini Dar es Salaam?

Ebu muulize Mnadhimu wako kuhusu hao maji kabla ya kuyaongelea maana ni mwenyeji wa huko, maana husije ukadhani mambo ni marahisi wakati hujakabidhiwa alafu ukikabidhiwa unaanza kulia na kutoa machoa, kama Nyerere alivyosema anawaonea huruma wanaogombania kukimbia Ikulu wakidhani pana raha!

CCM ina Mpango mzuri sana wa maji ambao upo katika utekereza katika mji wa Singida na tatizo la maji linaweza kuja kuwa Historia baada ya huo mradi unaoendelea sasa.

Watadai hata ule mpango wa kusambaza maji ya ziwa victoria ni wa kwao.huyu dada kwa kuwa hana jimbo basi ni kama vile anadandia treni kwa mbele.
 
Safi Kamanda tuko nyuma yenu.Muendelee kutujuza yanayojiri, nawashauri muwe makini na magamba yaliyobaki Chademe ambayo baati nzuri yanafahamika.
 
Back
Top Bottom