Posho kuiacha yataka imani hawa jamaa hawatendi wanachokihubiri majukwaani na tunafahamu kuwa nao Chadema wanauhadaa tu umma wa Watanzania!Zito leo kaweka mambo hadharani kuwa ni yeye pekee ndani ya CDM hajachukua posho za vikao akiwa bungeni. Mbowe na wengineo toka CDM wameshindwa kutekeleza kivitendo hoja ya kupinga posho.
Posho kuiacha yataka imani hawa jamaa hawatendi wanachokihubiri majukwaani na tunafahamu kuwa nao Chadema wanauhadaa tu umma wa Watanzania!
Zito leo kaweka mambo hadharani kuwa ni yeye pekee ndani ya CDM hajachukua posho za vikao tangu Julai 2011 akiwa bungeni. Mbowe na wengineo toka CDM wameshindwa kutekeleza kivitendo hoja ya kupinga posho. Hongera Shibuda kwa kuwa muwazi